Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 921
- 937
Bidhaa za Katoro hazifatwi Mwanza wala kahama, Katoro ni bandari kavu, maeneo yote jirani ikiwemo na GEITA TOWN wanafata bidhaa Katoro π€ππ usiichukulie Katoro too light π€π€Blaaa blaaa ππππ
Onyesha hapa kampuni za Katoro-Dar ndio mjadala uendelee.
Mnatukuza wapi? Kahama na Mwanza? π€£π€£
Migration ya watu kutoka lake zone kwenda Dar na migration ya watu kutoka nyanda za juu kusini kwenda Dar unazani wapi ni kubwa ππππBlaaa blaaa ππππ
Onyesha hapa kampuni za Katoro-Dar ndio mjadala uendelee.
Mnatukuza wapi? Kahama na Mwanza? π€£π€£
Hata Isaka ni Bandari Kavu ila sio town kushinda Kahama ππBidhaa za Katoro hazifatwi Mwanza wala kahama, Katoro ni bandari kavu, maeneo yote jirani ikiwemo na GEITA TOWN wanafata bidhaa Katoro π€ππ usiichukulie Katoro too light π€π€
Mwenye jukumu la kuweka data zenu ni nyie wa huko migodini.Leta data zote mbona unaanza kunipa kazi tena mimi, weka data zote na ulinganishe mwenyewe ππ€π€
Sina takwimu lakini Kwa akili tuu ya kawaida huwezi Toka Pwani ukaenda Usukumani ambako kuna Ukame.Migration ya watu kutoka lake zone kwenda Dar na migration ya watu kutoka nyanda za juu kusini kwenda Dar unazani wapi ni kubwa ππππ
Hiyo gari zimechoka sana, utadhani Mogadishu bhana...Mwenye jukumu la kuweka data zenu ni nyie wa huko migodini.
Ubaruku-Njombe-Makete
View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1760627480409612564?t=YlMh3krHf01MtNZ78xhryg&s=19
Katoro ndio Mji mkubwa kwa Geita DC, usilinganishe na vitu vya ajabu, makao makuu ya Geita DC hayawezi kuwekwa Katoro kwa sababu tu iko mpakani na wilaya ya Chato kwa sera za kijiografia na kusogeza huduma kwa wananchi ndio makao makuu yakapelekwa nzeraHata Isaka ni Bandari Kavu ila sio town kushinda Kahama ππ
Hicho ni Kijiji Cha Katoro kilichochangamka,hakuna kitu hapo
Katoro ndio Mji mkubwa kwa Geita DC, usilinganishe na vitu vya ajabu, makao makuu ya Geita DC hayawezi kuwekwa Katoro kwa sababu tu iko mpakani na wilaya ya Chato kwa sera za kijiografia na kusogeza huduma kwa wananchi ndio makao makuu yakapelekwa nzera
Wapi Katoro village town? ππHiyo gari zimechoka sana, utadhani Mogadishu bhana...
Gari zimechoka au siyo? πππHiyo gari zimechoka sana, utadhani Mogadishu bhana...
Sina takwimu lakini Kwa akili tuu ya kawaida huwezi Toka Pwani ukaenda Usukumani ambako kuna Ukame.
Mkoa Kwa Mkoa,Ubaruku-Dar ππ
View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1757020324309151746?t=1eJwSSaCS-_9tnrQH4nt3g&s=19
Wapi Katoro aka Katerero? π€£π€£
Wewe ndio una bla bla nyingi, ebu weka vitu vinavyooneka πππ unaijua nguvu ya dhahabu wewe π€Έ yaani mtu atoke kwenye dhahabu aende Dar kufanya nini?π€π€ au akauze mitumba πππ kula chuma hicho kwanza ππ₯ dhahabu inaongeaMwenye jukumu la kuweka data zenu ni nyie wa huko migodini.
Ubaruku-Njombe-Makete
View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1760627480409612564?t=YlMh3krHf01MtNZ78xhryg&s=19
Bora liwepo moja ila linaloeleweka..Gari zimechoka au siyo? πππ
Hadi ukimbie,Ubaruku inawatosha sana ππ
View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1723758959377399881?t=6tZQNqB8lHY_BGz7zLzt5A&s=19
Limechoka πππππBora liwepo moja ila linaloeleweka..
Gari imechoka utadhani inatoka Usinge to Kazulamimba kumbe ni ya kwenda makao makuu ya wilaya...
By the way, heka ya mpunga bei gani kukodi hapo Mbarali?
Huna pesa ya kuweza kukodi kule,wanalima Kwa irrigation na large scale farming.Bora liwepo moja ila linaloeleweka..
Gari imechoka utadhani inatoka Usinge to Kazulamimba kumbe ni ya kwenda makao makuu ya wilaya...
By the way, heka ya mpunga bei gani kukodi hapo Mbarali?
Kuzaana na Imani za kijinga kwamba ukizaa sana unapata wafanyakazi.That's why population ya lake zone ni kubwa kwa sababu ya uwepo wa fursa nyingi sector ya madini,uvuvi na biashara soko lipo watu ni wengi
Thanks, ni kweli nina pesa ya kuunga ila tatembelea huko nipige jembe kidogo...Huna pesa ya kuweza kukodi kule,wanalima Kwa irrigation na large scale farming.
Mimi siko Mbarali so Sina majibu ila mafahamu tuu kwamba kule competition ni kubwa sana kama huna hela.
Peleka moto peleka π₯π₯ππ
View: https://www.instagram.com/p/C_PtcZ6qDLQ/?igsh=MXVpcnlkbWtuOXp5OQ==
Yeah uko sahihi...That's why population ya lake zone ni kubwa kwa sababu ya uwepo wa fursa nyingi sector ya madini,uvuvi na biashara soko lipo watu ni wengi
Soko kubwa linaloongoza Kwa Mauzo ya Dhahabu Tanzania ni Chunya ndio wengine mnafuata ππMasoko ya dhahabu yamejengwa huku huku kwenye kila mji ulio na migodi ya dhahabu ko hakuna haja ya kwenda Dar au Nairobi kuuza dhahabu kama enzi hizo maana ilikuwa ni kuhujumu uchumi wa lake zone. Ko kwenda Dar safari zipo sawa but sio watu wengi kama unavyotegemea
Anayefanya shughuli za uvuvi nae hivyo hivyo hawezi kusafiri safiri na kuacha kusimamia shughuli zake
Nenda Kuna fursa Ila msipende kukariri,kule Mbarali ni chimbo la zamani Lina competition,uliza Wasukuma wenzako wakupeleke kwenye machimbo Mapya Ruvuma,Katavi,Rukwa,Lindi na pengine Morogoro na Kigoma.Thanks, ni kweli nina pesa ya kuunga ila tatembelea huko nipige jembe kidogo...
Maana ajira mumezimaliza ma kada...