Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 921
- 937
Njombe hamuwezi kuishinda hata kigoma, kigoma angalau inavutia kuliko njombe,Makambako haina Cha kujifunza huko ndo maa tunapata SoMo Lusaka .Ambao ni miongoni MWA majiji yanayokuwa kwa mfumo wa viwanda na biashara View attachment 3118681View attachment 3118682
Ndo mkajifunze Sasa sio kukaa unasifia mapaa humuNjombe hamuwezi kuishinda hata kigoma, kigoma angalau inavutia kuliko njombe,
View attachment 3118687View attachment 3118688View attachment 3118689View attachment 3118690View attachment 3118691View attachment 3118692
Mji ni wa zamani lakini haujajaa kutu kama hivyo vitongoji vyenu mnavyovipaisha
Mtoe hizo kutu ndio mje muanze kusifia hivyo vitongoji vyenu na hiki Kijiji kikubwa πππ€π€π€£π€£π€£Ndo mkajifunze Sasa sio kukaa unasifia mapaa humu
Kaa kwakutulia huu utafiti una ukweli Dunia ipo kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda ndo maana hata watalaam wa makambako walienda china kupata somoMna kila la kujifunza nyie kutoka kigoma huko π€ kazi yangu ni kuwafungua macho muone mko level gani msijikweze kwenye level ambazo bado hamjafika, kama kigoma tu bado hamna mji wa kuishinda huko kujisifia kunatoka wapiπ€ππ
Hayo hatukatai na ni jambo jema maana nyanda za juu kusini mlikuwa nyuma sana, turudi sasa kwenye suala la miji π€£π€£π€£π€£π€£π€£ yaani kwenye top 10 ya miji mizuri Tanzania hakuna mji kutoka nyanda za juu kusini πππ unaionaje hiyo π₯Ίπ₯ΊHaya Sasa mama aliwapeleka watalam wa mji wa makambako china kujifunza kwenye uwekezaji mkubwa wa kongani za viwanda ko makambako inaenda level zingine tayar hata umeme umeanza kuongezWa kwa kupanUa substation wazo limetiki huko mtangoja Sana https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/1920065171812482/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Hiyo ni list iliyopo akilini mwako na si uhalisia nacho kushauri jaribu kuzungukia halmashauri za miji , manispaa na majiji tz nzima ndo uje urudi humu sio umekaa unajisifia Ohio katoro sijui ni bandari na kwambia hayo maneno yako yatakukata sio ku google picha za miji za miaka HiYo mijengo inanyanyuka Kila siku note mji ni miundo mbinu na mpangilio bila hivo kitabaki ni Kijiji tu.Hayo hatukatai na ni jambo jema maana nyanda za juu kusini mlikuwa nyuma sana, turudi sasa kwenye suala la miji π€£π€£π€£π€£π€£π€£ yaani kwenye top 10 ya miji mizuri Tanzania hakuna mji kutoka nyanda za juu kusini πππ unaionaje hiyo π₯Ίπ₯Ί
Kiwanda cha kuunda magari na kutengeneza Nondo kinatarajiwa kujengwa katika Halmashauri ya Mji Makambako mkoani #Njombe katika eneo la Lyamkena.Hayo hatukatai na ni jambo jema maana nyanda za juu kusini mlikuwa nyuma sana, turudi sasa kwenye suala la miji π€£π€£π€£π€£π€£π€£ yaani kwenye top 10 ya miji mizuri Tanzania hakuna mji kutoka nyanda za juu kusini πππ unaionaje hiyo π₯Ίπ₯Ί
Sisi tunajifunza Huku sio kwenye vichaka vya wafugaji kwa Sababu hata Hali ya hewa tunaendana na kazi imeanza wawekezaji wanaangalia fursa MAKAMBAKO πππNdio maana nimesema mna la kujifunza huko nyanda za juu kusini, unasifia miji ya hivi ππkuna cha kuvutia hapa zaidi ya kutu π€π€View attachment 3118699
Mkuu unadhani Iringa na Songea zitasimama kimaendeleo kukusubiri wewe njombe?? Hiyo ligi Kila mmoja anapambana. Fursa za Njombe ndo zipo IringaHata kauzibe kawekwaje Njombe itakuwa na kuzipita Iringa na Songea ndani ya miaka 10-15 ijayo, ule ni mkoa wa fursa na wachapakazi.
Shinyanga sio kwamba inapendelewa, hapana ilisha consolidate position yake miaka mingi kabla ya migodi Kahama ilikuwa kijiji wakati tayari shy ni mji mkubwa na pili shy ina fursa ya kujengwa viwanda coz iko tambarare na iko jirani na Mwanza.
Zitapitwa njombe inafursa nyingi mno plan tu ya kuanzisha mji wa viwanda na biashara tayari ujue iringa na ruvuma zitategemea centre HiYo kumbuka wawekezaji wakubwa ni WA china na tayari reli ya TAZARA ipo chini Yao ko watajenga bandari ya maana paia tayari wanajenga industrial park zao ko njombe tayar inawapiga gap hapo maana Wana chuma Cha kutosha nje ya rasilimali zingineMkuu unadhani Iringa na Songea zitasimama kimaendeleo kukusubiri wewe njombe?? Hiyo ligi Kila mmoja anapambana. Fursa za Njombe ndo zipo Iringa
Mkuu unadhani Iringa na Songea zitasimama kimaendeleo kukusubiri wewe njombe?? Hiyo ligi Kila mmoja anapambana. Fursa za Njombe ndo zipo Iringa
Mvua uhakika ,kutu zinatokaje Sasa?Mtoe hizo kutu ndio mje muanze kusifia hivyo vitongoji vyenu na hiki Kijiji kikubwa πππ€π€π€£π€£π€£View attachment 3118729
Kila Mkoa hapa Tanzania una fursa ila natarajia kuona mapinduzi ya Uchumi yakiletwa na sekta kuu 3.Mkuu unadhani Iringa na Songea zitasimama kimaendeleo kukusubiri wewe njombe?? Hiyo ligi Kila mmoja anapambana. Fursa za Njombe ndo zipo Iringa
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huna hoja tena,Mvua uhakika ,kutu zinatokaje Sasa?