Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Makambako haina Cha kujifunza huko ndo maa tunapata SoMo Lusaka .Ambao ni miongoni MWA majiji yanayokuwa kwa mfumo wa viwanda na biashara View attachment 3118681View attachment 3118682
Njombe hamuwezi kuishinda hata kigoma, kigoma angalau inavutia kuliko njombe,
download (1).jpeg
1719974533183.jpg
Kigoma_Habor,_Kigoma_Ward.jpg
images (20).jpeg
images (21).jpeg
images (22).jpeg

Mji ni wa zamani lakini haujajaa kutu kama hivyo vitongoji vyenu mnavyovipaisha
 
Ndio maana nimesema mna la kujifunza huko nyanda za juu kusini, unasifia miji ya hivi 👇👇kuna cha kuvutia hapa zaidi ya kutu 🤔🤔
images (14).jpeg
 
Mna kila la kujifunza nyie kutoka kigoma huko 🤗 kazi yangu ni kuwafungua macho muone mko level gani msijikweze kwenye level ambazo bado hamjafika, kama kigoma tu bado hamna mji wa kuishinda huko kujisifia kunatoka wapi🤗😂😂
Kaa kwakutulia huu utafiti una ukweli Dunia ipo kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda ndo maana hata watalaam wa makambako walienda china kupata somo
IMG-20240927-WA0011.jpg
 
Haya Sasa mama aliwapeleka watalam wa mji wa makambako china kujifunza kwenye uwekezaji mkubwa wa kongani za viwanda ko makambako inaenda level zingine tayar hata umeme umeanza kuongezWa kwa kupanUa substation wazo limetiki huko mtangoja Sana
View: https://www.facebook.com/reel/1920065171812482/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

Hayo hatukatai na ni jambo jema maana nyanda za juu kusini mlikuwa nyuma sana, turudi sasa kwenye suala la miji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani kwenye top 10 ya miji mizuri Tanzania hakuna mji kutoka nyanda za juu kusini 😂😂😂 unaionaje hiyo 🥺🥺
 
Hiyo ni list iliyopo akilini mwako na si uhalisia nacho kushauri jaribu kuzungukia halmashauri za miji , manispaa na majiji tz nzima ndo uje urudi humu sio umekaa unajisifia Ohio katoro sijui ni bandari na kwambia hayo maneno yako yatakukata sio ku google picha za miji za miaka HiYo mijengo inanyanyuka Kila siku note mji ni miundo mbinu na mpangilio bila hivo kitabaki ni Kijiji tu.
 
Hayo hatukatai na ni jambo jema maana nyanda za juu kusini mlikuwa nyuma sana, turudi sasa kwenye suala la miji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani kwenye top 10 ya miji mizuri Tanzania hakuna mji kutoka nyanda za juu kusini 😂😂😂 unaionaje hiyo 🥺🥺
Kiwanda cha kuunda magari na kutengeneza Nondo kinatarajiwa kujengwa katika Halmashauri ya Mji Makambako mkoani #Njombe katika eneo la Lyamkena.

Katika ziara ya Waziri wa Elimu wa Tanzania katika mji wa Makambako Prof. Adolf Mkenda amezungumzia ushirikiano wa serikali ya Tanzania na kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania kutoka nchini China kuwa moja ya mkakati wa kukuza sekta ya uwekezaji kati ya mataifa hayo mawili ambao unaenda kuchochea uzalishaji bidhaa hizo na ajira kwa Wananchi.

Ujenzi wa kiwanda hicho umeenda sambamba na maombi ya Chuo cha Ufundi katika mji wa Makambako ili kufundisha mtaala wa amali kwa ajili ya kupata watu wenye ujuzi wa kiwanda cha kuunda magari na nondo kutoka kwenye chuo hicho.

Kwa upande wa Wakazi wa mji wa Makambako wanasema ujio wa kiwanda hicho ni fursa pekee itakayoitambulisha Makambako kimataifa na kukuza uchumi.

📷 Picha Maktba na @ahazndone_tz

#kingsfmradio #jisikiemfalme #tanzania #njombe #2024kifalmezaidi #kingsfmupdates
1728451434860.jpg
 
Ndio maana nimesema mna la kujifunza huko nyanda za juu kusini, unasifia miji ya hivi 👇👇kuna cha kuvutia hapa zaidi ya kutu 🤔🤔View attachment 3118699
Sisi tunajifunza Huku sio kwenye vichaka vya wafugaji kwa Sababu hata Hali ya hewa tunaendana na kazi imeanza wawekezaji wanaangalia fursa MAKAMBAKO 👇👇👇
WhatsApp Image 2024-07-29 at 13.31.30 (1).jpeg
1727833019031.jpg
lusaka Zambia wachina wanazidi fanya uwekezaji 👇👇👇
hqdefault(0).jpg
640px-Kafue_round_about(0).jpg
hqdefault(1).jpg
1728011393289.jpg
hqdefault(0).jpg
chinese-supermarket-in-lusaka-zambia-2BN7084.jpg
 
Hata kauzibe kawekwaje Njombe itakuwa na kuzipita Iringa na Songea ndani ya miaka 10-15 ijayo, ule ni mkoa wa fursa na wachapakazi.

Shinyanga sio kwamba inapendelewa, hapana ilisha consolidate position yake miaka mingi kabla ya migodi Kahama ilikuwa kijiji wakati tayari shy ni mji mkubwa na pili shy ina fursa ya kujengwa viwanda coz iko tambarare na iko jirani na Mwanza.
Mkuu unadhani Iringa na Songea zitasimama kimaendeleo kukusubiri wewe njombe?? Hiyo ligi Kila mmoja anapambana. Fursa za Njombe ndo zipo Iringa
 
Mkuu unadhani Iringa na Songea zitasimama kimaendeleo kukusubiri wewe njombe?? Hiyo ligi Kila mmoja anapambana. Fursa za Njombe ndo zipo Iringa
Zitapitwa njombe inafursa nyingi mno plan tu ya kuanzisha mji wa viwanda na biashara tayari ujue iringa na ruvuma zitategemea centre HiYo kumbuka wawekezaji wakubwa ni WA china na tayari reli ya TAZARA ipo chini Yao ko watajenga bandari ya maana paia tayari wanajenga industrial park zao ko njombe tayar inawapiga gap hapo maana Wana chuma Cha kutosha nje ya rasilimali zingine
Mkuu unadhani Iringa na Songea zitasimama kimaendeleo kukusubiri wewe njombe?? Hiyo ligi Kila mmoja anapambana. Fursa za Njombe ndo zipo Iringa
 
Mkuu unadhani Iringa na Songea zitasimama kimaendeleo kukusubiri wewe njombe?? Hiyo ligi Kila mmoja anapambana. Fursa za Njombe ndo zipo Iringa
Kila Mkoa hapa Tanzania una fursa ila natarajia kuona mapinduzi ya Uchumi yakiletwa na sekta kuu 3.

Viwanda hasa vya Chuma,Nondo

Makaa ya Mawe

Sekta ya Horticulture.

Miundombinu eg Uwanja wa ndege unajengwa,Barabara

Mwisho haitakuwa rahisi lakini kazi inasogea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DA6npEEOmWt/?igsh=MTgzd2pmbGhnZWsyag==
 
Back
Top Bottom