M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
Je unajua kuwa kahama ilikuwa inashika namba mbili kitaifa ya kwanza ikiwa ni ilala?
Hahaha! Eti nimeishi miaka mitatu alafu unabwabwaja sisi wazawa tusemeje?
.
Mwanza-Shinyanga ni KM 141 na si chache ni nyingi mnooo ni masaa mawili hadi matatu kwa gari.
Njombe ni porini kumejificha watu ni washamba, Kahama wajanja wengi alafu sio wasukuma tu wametoka maeneo mbalimbali ya nchi na jirani
Hebu acheni kulinganisha njombe mkoa na vitu vya ajabu ajabu. Takwimu za kiuchumi zinaonesha njombe ya 3 harafu ulinganishe na kiwilaya sijui cha wapi huko. Kwenye takwimu za kiuchumi kilikuwa cha ngapi na je watu wake wapoje kimaendeleo. Kahama ingekuwa ipo vizuri ingekuwa mkoa basi