Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mafinga tc
1727884175072.jpg
 
Wachina wameikubali wazo la njombe hii ni baada ya balozi kutembelea maeneo ya uwekezaji katika mji wa viwanda na biashara makambako Koo ni Muda Sasa wakuuona mkoa wa njombe katika level zingine👇👇👇👇
1729580715634.jpg
 
Vitu vinanyanyuka ndani ya Katoro 👇View attachment 3134629

Miji endelevu inaenda kwa mfumo huu ndo maana hata makubaliano ya nchi za SADC ni kuwa na miji ya viwanda 👇👇👇👇👇👇👇Kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania.co.Ltd kwa kushirikiana na serikali ya mkoa wa Njombe imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha uzalishaji na utengenezaji wa chuma, magari bunifu ya utalii pamoja na unga wa chuma, chokaa saruji na bidhaa nyingine katika eneo la Ikelu, Halmashauri ya mji wa Makambako, wilayani Njombe, kiwanda ambacho kinatajwa kuwa kikubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki

Mbele ya mamia ya wananchi na Balozi wa China nchini Tanzania Chen Mingjian aliyefika kukagua eneo la ujenzi wa kiwanda hicho, Mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Lx Xsinda amesema amefanikiwa kuanza ujenzi huo kutokana na hamasa kubwa kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka pamoja na serikali ya Tanzania kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na biashara kwa wawekezaji

Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema mpango wake ni kuhakikisha Makambako inakuwa ya viwanda huku akiwahakikisha wananchi kuwa kiwanda hicho kinajengwa kama alivyofanya kwenye mikoa mingine aliyoiongoza awali ikiwemo kusimamia ujenzi wa kiwanda cha chaki alipokuwa mkoani Simiyu pamoja na kiwanda cha mbolea za FOMI mkoani Dodoma

"Rais alipokuja Njombe nilimuahidi ni lazima tutabadirisha mkoa huu kwa sababu ameniamini mimi na wenzangu, kwa hiyo anapofungua fursa sisi tuna wajibu wa kuzichukua fursa na kuzitafsiri kwenye vitendo" -Mtaka

Balozi wa China nchini Tanzania Chen Mingjian amepongeza juhudi za uwekezaji wa kiwanda hicho unaoendelea ambapo amesema ni uwekezaji mkubwa na wa kisasa ambao pia utakwenda kutoa fursa ya ajira za kutosha kwa Watanzania, ambapo unakwenda kutoa bidhaa zenye mahitaji makubwa kwa Tanzani na nchi nyingine, sambamba na kuwezesha kupata fedha za kigeni.
1729911833078.jpg
1729580715634.jpg
IMG-20241011-WA0009.jpg
 
Miji endelevu inaenda kwa mfumo huu ndo maana hata makubaliano ya nchi za SADC ni kuwa na miji ya viwanda 👇👇👇👇👇👇👇Kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania.co.Ltd kwa kushirikiana na serikali ya mkoa wa Njombe imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha uzalishaji na utengenezaji wa chuma, magari bunifu ya utalii pamoja na unga wa chuma, chokaa saruji na bidhaa nyingine katika eneo la Ikelu, Halmashauri ya mji wa Makambako, wilayani Njombe, kiwanda ambacho kinatajwa kuwa kikubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki

Mbele ya mamia ya wananchi na Balozi wa China nchini Tanzania Chen Mingjian aliyefika kukagua eneo la ujenzi wa kiwanda hicho, Mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Lx Xsinda amesema amefanikiwa kuanza ujenzi huo kutokana na hamasa kubwa kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka pamoja na serikali ya Tanzania kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na biashara kwa wawekezaji

Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema mpango wake ni kuhakikisha Makambako inakuwa ya viwanda huku akiwahakikisha wananchi kuwa kiwanda hicho kinajengwa kama alivyofanya kwenye mikoa mingine aliyoiongoza awali ikiwemo kusimamia ujenzi wa kiwanda cha chaki alipokuwa mkoani Simiyu pamoja na kiwanda cha mbolea za FOMI mkoani Dodoma

"Rais alipokuja Njombe nilimuahidi ni lazima tutabadirisha mkoa huu kwa sababu ameniamini mimi na wenzangu, kwa hiyo anapofungua fursa sisi tuna wajibu wa kuzichukua fursa na kuzitafsiri kwenye vitendo" -Mtaka

Balozi wa China nchini Tanzania Chen Mingjian amepongeza juhudi za uwekezaji wa kiwanda hicho unaoendelea ambapo amesema ni uwekezaji mkubwa na wa kisasa ambao pia utakwenda kutoa fursa ya ajira za kutosha kwa Watanzania, ambapo unakwenda kutoa bidhaa zenye mahitaji makubwa kwa Tanzani na nchi nyingine, sambamba na kuwezesha kupata fedha za kigeni.View attachment 3135432View attachment 3135433View attachment 3135434
Miji inayokua kutokana na madini ndio huwa bomba zaidi, Mfano Bukavu city, Goma etc..
images.jpeg
images (12).jpeg
 
H

Hii ndio kazi ya madini (dhahabu na almas) sio mnatuletea vimiji vyenu vya nyanda za juu kusini vilivyo jaa kutu
Kaa kwa kutulia lazima mtakuja kutoa kununua bidhaa kwenye mji huu Wachina wamesha uelewa mji huu
1729580715634.jpg
 
Kaa kwa kutulia lazima mtakuja kutoa kununua bidhaa kwenye mji huu Wachina wamesha uelewa mji huu View attachment 3136364
Shida hamchakati vizuri ubongo wenu, haya hivyo viwanda wanufaikaji wakubwa ni akina nani? unazani kiwanda kitamlipa mtu mshahara atajirike?
Kwa kanda ya huku migodi ya dhahabu kila siku inatoa mamillionea (wachimbaji wadogo wadogo)
Na walioajiriwa kwenye migodi mikubwa kama GGM mishahara yao sio level ya nchi hii
Migodi midogo midogo huku ni mingi almost mkoa mzima wa Geita na nusu ya Mkoa wa Shinyanga ni dhahabu tupu,
Wait after 10yrs utaona utajiri wa kanda ya ziwa ukoje
 
Kwa umaskini uliootopea zaidi yaZungu kufaaidi nyie mnaachiwa mashimo na vumbi uchumi upo njombe Mzee acha kujifariji
IMG-20240402-WA0061.jpg
 
Back
Top Bottom