ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekimbia huko hakuna hela 🤣🤣Mabasi ya mwanza
Makambako steel industrial park imesha pigwa lami Barabara zote za ndani ya industrial park na itatumia reli ya TAZARA kusafirisha bidhaa zao kwenye masoko mbalimbali kwa MUJIBU WA mwekezaji mambo yanazidi kuchangamka👇👇👇👇👇👇 "MCHINA AJIBU MASWALI YA MADIWANI LUDEWA KWA KISWAHILI, AOMBA KUSAIDIWA, MBUNGE ATIA NENO - YouTube"Nilisha kuletea list ya viwanda zaidi ya 30 vinavyojihusisha na dhahabu wakati wewe hapo umeshindwa kuleta list ya viwanda hata 15
Saa100 😳😳😳🥺View attachment 3197603
Njombe,😁😁😁😁😁😁
Gorofa za Kahama Manispaa Uchwara zidisha mara 2 ndio unapata NjombeKahama ya moto