Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga


View: https://www.instagram.com/p/DEiUa5-OKwf/?img_index=3&igsh=MXhqbnR0OW5jbDl1cQ==
iringa_buses_1736313547888.jpg
iringa_buses_1736313546198.jpg
iringa_buses_1736313544470.jpg
 
Nilisha kuletea list ya viwanda zaidi ya 30 vinavyojihusisha na dhahabu wakati wewe hapo umeshindwa kuleta list ya viwanda hata 15
Makambako steel industrial park imesha pigwa lami Barabara zote za ndani ya industrial park na itatumia reli ya TAZARA kusafirisha bidhaa zao kwenye masoko mbalimbali kwa MUJIBU WA mwekezaji mambo yanazidi kuchangamka👇👇👇👇👇👇 "MCHINA AJIBU MASWALI YA MADIWANI LUDEWA KWA KISWAHILI, AOMBA KUSAIDIWA, MBUNGE ATIA NENO - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=cricm0hwiO4&pp=ygUOV2FjaGluYSBsdWRld2E%3D
 
Back
Top Bottom