Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Ilitakiwa iwepo na itumike, ndio ukweli. Kuhusu uhalisia uliopo ni sisi tunaoutengeneza....... mfano imagine kila raia awe akikaa kwenye siti[hasa gari za masafa au zote tu] isiyo na mkanda agome kwa kudai kuwa siti haijakamilika mikanda ingekuwepo kila gari. Lakini kama mikanda yenyewe hadi trafiki anune ndiyo tufunge hapo ndio kazi.Kwenye daladala kuna mikanda ya abiria kufunga au ndo unajitoa ufahamau???