Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Gari ukiwa speed 80 kushuka kama unaona mbali hata ukikutana na jambo la ghafla ni rahisi kufanya maamuzi. Sasa upo 140 ghafla umekutana na Trekta ndani ya m100 kweli hapo unafanya maamuzi gani? Usiku kama huoni mbali endesha hata speed 50 kwani unamringishia nani kuwa unajua kukimbiza gari?
HALAFU ABIRIA WAPO KIMYAA NDANI YA GARI AMBAYO UKIANGALIA HATA KWA MACHO NI KUTU KUTU TU HALINA UBORA NA LINAKIMBIA HASWA.
HALAFU ABIRIA WAPO KIMYAA NDANI YA GARI AMBAYO UKIANGALIA HATA KWA MACHO NI KUTU KUTU TU HALINA UBORA NA LINAKIMBIA HASWA.