Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nime address tatizo la vyombo vya moto visivyofuata sheria na serikali ni kama haina mpango navyo vimewashinda.Ajali isababishwe na magari,lawama ziende kwa pikipiki. Nchi hii INA laana sio bure.
Katika kumbukumbu yangu hii ni ajali ya pili kwenye eneo hilo 1998 ilitokea kama hio Haice iliingia nyuma ya Lori la mkaa lisilokuwa na taa wala riflekta.Hiance zinazidi kuchinja kanda ya ziwa
Nyie team Mazombie kwahiyo saa nne usiku kwa mazingira hayo ya tukio kulikuwa na trafiki isipokuwa baada tu ya Kinana kutoa kauli?Nakala aipate kinana
70% ya ajali zinasababishwa na mwendo kasiInanikumbusha boda boda mmoja pale mapinga.
Kuna Lori la cement limetoka kushusha likagongana na gari la maji la afya.njia ikawa imefungwa na hayo magari.ilikuwa usiku sana.yule bwana na haraka zake yuko speed balaa watu wanammulika tochi lakini wapi.asikii Wala haoni akaenda kugonga ubavuni mwa gari la cement akalala juu .na kiuno akateguka.
Tuweni makini madereva mwendo kasi haufai
Lamda kama Sheria zimebadilika lakini nachojua haya ruhusiwi barabarani usikuNi nadra sana kukuta tela la trekta lina taa za nyuma,kwa hapa bongo nadra sana....hivyo yangepigwa marufuku tu kutembea usiku.
Lamda kama Sheria zimebadilika lakini nachojua haya ruhusiwi barabarani usikuNi nadra sana kukuta tela la trekta lina taa za nyuma,kwa hapa bongo nadra sana....hivyo yangepigwa marufuku tu kutembea usiku.
Muda huo huenda abiria wote walikuwa wamesinzia.Hizi ajali pasipo madereva wenyewe kuacha kuendesha kwa mwendo kasi haziwezi kwisha, hatuwezi kutegemea askari wa usalama barabarani kila siku waokoe maisha yetu kama abiria ndani ya mabasi hatuwaambii madereva ukweli wapunguze mwendo.
Tatizo hatujui tunataka Nini?trafik wawepo usiku na wengine mchana wapeane shift... Achaneni na maneno ya kinana hayana research [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo utakuwa huwatendei haki Madereva waliohusika ambao wawili ni Marehemu makosa yamesababishwa na mwenye Trekta kuingia Barabara kuu ya Dar Kigali bila taa za nyuma wala riflekta.Mwendo kasi,mwendo kasi,mwendo kasi na leseni za kufoji zitatumaliza dah!
Hujui unachosema wewe... au pengine hujawahi kuendesha gari usiku.Huyo dereva alikua amelewa, trekta zimekuwepo miaka na miaka, trekta ni visible inaonekana hata kama haina taa. Wenzetu wana kitu wanaiita "Random alcohol test" kwa madereva, hii ikija kwetu itasaidia kupunguza ajali kwa asilimia kubwa sana.