Jopaki
Senior Member
- Jan 22, 2015
- 131
- 180
Nimewaza kama weweUnamwamuru Mungu chakufanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewaza kama weweUnamwamuru Mungu chakufanya?
Ile Triangle reflector huwa haifai kwa maana huwa ni nyepesi na hupeperushwa upesi bora matawi ya mti.Mfano mdogo tu haya malori mengi yanaharibikia maeneo mabaya sana. Dereva usipokuwa makini unayavaa yakiwa tamepaki.
Hiace ilikua imebeba watu 31.Natoa pole kwa wafiwa na kwa majeruhi. winston20 , hao majeruhi 15 walikuwa kwenye chombo kipi? Kwa sababu kwa mujibu wa taarifa yako, marehemu watatu (3) wamefia kwenye IST, marehemu kumi na sita (16) wamefia kwenye hio Nissan Caravan unayoita Hiace! Hao 15 walikuwa kwenye trekta ama hilo lori Howo?
PoleSo sad,hii ajari imesababisha kifo cha mdogo wangu kwenye hiyo IST,laiti ningemkamata dereva wa hilo trekta,ningemtatua malinda bila kalainishi.
Ha ha nimecheka sana na ndo pigo zao unakuta kapiga yebo yepo na soksi hana habari!! Kichwani kiduku [emoji23][emoji23]Na miguuni amevaa 'Yebo Yebo' za Adidas
Hizo yebo moja unakuta kaining'iniza kama inataka kudondoka boda wapuuzi sanaHa ha nimecheka sana na ndo pigo zao unakuta kapiga yebo yepo na soksi hana habari!! Kichwani kiduku [emoji23][emoji23]
Tinde to Kahama huwa najimwaga sana. Hamna speed bumps.Duuh ndugu umeelewa kweli kilichoelezwa na chanzo cha ajali ni nini umeelewa?
Hazina ndio harzad?
Kosa la trekta kutokuwa na taa wala reflector na haya ni makosa yanajirudia rudia sana juu ya hii mitambo haisimamiwi kabisaa
.mwenye hiace hakuwa na tahadhari moto mchibuyu umewawahisha ndugu zetu mbele ya haki na hiyo njia huwa hakuna matuta basi ni kufuta kisahani tena usiku hakuna "watoto yatima wale".
Mwendokasi ni hatari sana ndugu zangu madereva na ajali inazuilika palipo na subira na kuepuka mashindano tuache papara barabarani tu wapi barabarani na pia tahadhari ni muda wote vicheche ni vingi usiku tuwe makini sana.
Poleni ndugu na jamaa zetu huko kahama.
Trekta ni gari dogo??Wewe unalaumu bila kusoma habari hadi mwisho...
Hilo gari kubwa lilikuwa limepaki tu.
Trekta ni nini na ww?Umeambiwa ni Trekta kwenye kisa hiki
Glopu ya shilingi 1000 inasababisha mauti ya watu wengi
Huyo ni pro-[emoji1258][emoji1258][emoji1255][emoji1255]...mpe heshima yake[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]We fala Kinana anahusikaje wakati tukio limetokea usiku
Ajali isababishwe na magari,lawama ziende kwa pikipiki. Nchi hii INA laana sio bure.Tractor na pikipiki ni kama haziko ndani ya sheria za inji hii
Mbona wapo wanasimama point nying tuToka wewe ukasimame usiku
SahihiHizi ajali pasipo madereva wenyewe kuacha kuendesha kwa mwendo kasi haziwezi kwisha, hatuwezi kutegemea askari wa usalama barabarani kila siku waokoe maisha yetu kama abiria ndani ya mabasi hatuwaambii madereva ukweli wapunguze mwendo.