Ilitakiwa iwepo na itumike, ndio ukweli. Kuhusu uhalisia uliopo ni sisi tunaoutengeneza....... mfano imagine kila raia awe akikaa kwenye siti[hasa gari za masafa au zote tu] isiyo na mkanda agome kwa kudai kuwa siti haijakamilika mikanda ingekuwepo kila gari. Lakini kama mikanda yenyewe hadi trafiki anune ndiyo tufunge hapo ndio kazi.
Askari wa usalama barabarani walazimishwe kisheria ku patrol barabara na kuhakikisha magari yaliyoharibika barabarani yanaondolewa haraka na pia madereva kulazimika kisheria kuripoti kuhusu magari yao yaliyoharibika
12:45 asubuhi basi la Mbeya kwenda Tunduma likiwa ktk mwendekasi kwenye mteremko lasababisha vifo na majeruhi kwa kugonga vyombo vitatu vya usafiri yaani gari ndogo, basi dogo aina ya Rosa, pia Lori la masafa marefu lenye trailer lililosheheni sulphur ....
Source : MbeyaYetuOnline TV