Kaibiwa na Dada poa sasa anaanza upya

Kaibiwa na Dada poa sasa anaanza upya

N
The 1st rule:
Kabla hujamleta dada poa kwako, Hakikisha chumba chako/nyumba yako (ina choo ndani. )

2nd rule
Ukimleta dada poa kwako funga milango yote kwa kitasa kasoro mlango wa bafun na choon, afu ficha funguo sehem ambayo hawez kuiona. Ukiona anaulizia funguo basi akili yako ikae attention.

3rd rule
Ukishamgonga, kabla hujamruhusu, hakikisha unakagua mali zako je zpo zote? Always mi huwa naangali je pc yangu ipo? Wallet ipo? Hela zpo vile vile? Je smu ipo?.

Nikijiridhisha vyote vipo basi namfungulia mlango anaenda

NB:Hatupendi kuleta madada poa kwny nyumba zetu/vyumba vyetu lakn some times tunafanya hvyo ili kuepuka garama za guest.

By the way kwa nn niende gest akati home kwangu naish peke angu?
Aweka binding hii oost
 
Back
Top Bottom