Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Maccm hayaoni kwamba nchi yetu kitendo cha kuwa na Kaimu Balozi ni ishara kwamba hatuna thamani mbele yao.
Kwani we hiyo thamani inakupa kulipa bills?
Hebu acheni race inferiority.
Wetu weusi tunajidharau sana mpaka tunaboa
Jipe kwanza wewe mwenyewe thamani ndio mwingine aakupe thamani unayotaka
 
Anayetoa taarifa ni balozi au kaimu balozi?
 
Hahahahaha dah Hahahahaha aise umetisha saana
 
kenya wa Base yao kuwa muelewa

ni kweli special force wapo ila sio active kivile rejea kuvamiwa kwa ubalozi wa USA majuzi Iraq
 
Watanzania hatuipendi Tanzania kiasi tunawaachia wachache waichezee Tanzania wanavyopenda.
Kuna watanzania walijaribu kuichezea Tanzania pale kibiti walisagwa kama sisimizi.amani na utulivu wa Tanzania unalindwa kwa uwezo wa Allah muumba mbingu na nchi na hakuna shetani wa kuichezea Tanzania.
 
Acha ushabiki, mabalozi wanabadilishwa kila baada ya miaka mitatu. Tanzania huwa haibadilishi kwa kuwa haina hela.
 
Huyu alikuwa mwanachadema ,aende tu,lazima itakuwa kakataliwa nchini ,badala ya kufukuzwa kama yule wa umoja wa ulaya ,wamemtunzia heshima ya kidiplomasia
Unaonyesha ujinga ulio nao kwa kuwa Marekani wana policy ya kubadilisha au kumhamisha balozi kila baada ya miaka mitatu
 
Kwa akili zetu hizi bora hawa wazungu waendelee kuwepo tuu.
Kuna lile jamaa kichwa kikubwa la mjengoni linataka jamaa atawale mpaka anakufa.
 
Pale ubalozini ni sawa na nchini kwao. Wakiwa pale wanaweza kufanya chochote ndani ya eneo lao.

Kwa akili zako sijui ulielewa nini
Kwa hiyo military (radar)defence system ya Tz inalinda maeneo yote isipokuwa balozi za nchi za nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…