Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Huyu Mwl. Mwaisa bure kabisa! Yaani ameshindwa kuyaita ma mama ya Tukuyu yaliyoshiba ndizi na kujaza mazegembe nyuma anaparamia watoto! Jela inamuhusu ๐ญ๐ญ๐ญ
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata mwalimu mkame Living Mwaisumo mwenye umri wa Miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari zombo wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.
Akizingumza na waandishi wa habari kamanda Jeshi la Polisi Mkoa wa morogoro SACP Alex Mkama amesema mtuhumiwa alitenda kosa Hilo tarehe 19 march 2025 majira ya asubuhi .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema mwanafunzi huyo mwenye umri wa Miaka 16 ambaye jina lake limehifadhiwa alifanyiwa kitendo cha ukatili huo na mwalimu huyo wakiwa ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo.
Aidha kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema mtuhumiwa alikamatwa baada ya mwanafunzi huyo kutoa taarifa kituo cha polis na tayari uchunguzi wa awali umeshafanyika na kubaini tukio Hilo mmomonyokoa wa maadili huku uchunguzi wa kisayansi kujiendeleza kufanyika.
yanahitaji stamina mkuuHuyu Mwl. Mwaisa bure kabisa! Yaani ameshindwa kuyaita ma mama ya Tukuyu yaliyoshiba ndizi na kujaza mazegembe nyuma anaparamia watoto! Jela inamuhusu ๐ญ๐ญ๐ญ
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata mwalimu mkame Living Mwaisumo mwenye umri wa Miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari zombo wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.
Akizingumza na waandishi wa habari kamanda Jeshi la Polisi Mkoa wa morogoro SACP Alex Mkama amesema mtuhumiwa alitenda kosa Hilo tarehe 19 march 2025 majira ya asubuhi .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema mwanafunzi huyo mwenye umri wa Miaka 16 ambaye jina lake limehifadhiwa alifanyiwa kitendo cha ukatili huo na mwalimu huyo wakiwa ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo.
Aidha kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema mtuhumiwa alikamatwa baada ya mwanafunzi huyo kutoa taarifa kituo cha polis na tayari uchunguzi wa awali umeshafanyika na kubaini tukio Hilo mmomonyokoa wa maadili huku uchunguzi wa kisayansi kujiendeleza kufanyika.
Okay, sawa.Mpuuzi sana jela inamhusu
Kukaimishwa tu nafasi kukamtia vishawishi

Huenda ametegwa mtego huu au amebambikiwa hizo tuhuma katika mkasa wa Vita ya Kugombea madaraka hapo shuleni ili Maadui/watesi wake waweze kupata hicho Cheo Cha Mwalimu Mkuu anachokaimu.
Huenda tayari wamechukua sampuli kwa binti kama Mwaisumo hakuwa na kingaayari uchunguzi wa awali umeshafanyika na kubaini tukio Hilo mmomonyokoa wa maadili huku uchunguzi wa kisayansi kujiendeleza kufanyika.
Shimba ya BuyenzeHuyu Mwl. Mwaisa bure kabisa! Yaani ameshindwa kuyaita ma mama ya Tukuyu yaliyoshiba ndizi na kujaza mazegembe nyuma anaparamia watoto! Jela inamuhusu ๐ญ๐ญ๐ญ
Huenda tayari wamechukua sampuli kwa binti kama Mwaisumo hakuwa na kinga
asa vita gani labda ionekane hajatenda hivyo ila kama katenda kweli na ikathobitika kweli katenda atawajibikOkay, sawa.
Isipokuwa watu wanapaswa wawe waangalifu Sana kwenye mienendo yao ya kila siku katika maisha yao kwenye dunia hii ya Sasa.
Kuna majaribu na mitego mingi Sana kutoka kwa Maadui ili waweze kukuangusha chini na kuangamizwa kabisa.
Huenda huo ulikuwa mtego, au kisasi au VIta ya Kugombea Cheo na Madaraka katika Kazi yake, Vita ya Mirathi, Vita ya Migogoro ya Ardhi, au Vita ya kifamilia, n.k.
Mtuhumiwa anatajwa kuwa ni "Kaimu Mwalimu Mkuu," huenda hiyo ni Vita ya kugombea hicho Cheo Cha 'Mwalimu Mkuu' ambacho anakaimu kwa wakati huu wa sasa. May be!
Walimu wanapaswa wawe makini sana kwenye maisha yao.
Je, unajua kitu kinachoitwa "Characters Assassination and Smear Campaign Propaganda"??asa vita gani labda ionekane hajatenda hivyo ila kama katenda kweli na ikathobitika kweli katenda atawajibik
Bagosha!Shimba ya Buyenze
Kabla sijamsoma aliyeandika nilifikiri ni wewe mkuu๐ซก๐
Imekosekana tu Shubamit!
There is no excuse for pedophilia!Okay, sawa.
Isipokuwa watu wanapaswa wawe waangalifu Sana kwenye mienendo yao ya kila siku katika maisha yao kwenye dunia hii ya Sasa.
Kuna majaribu na mitego mingi Sana kutoka kwa Maadui ili waweze kukuangusha chini na kuangamizwa kabisa.
Huenda huo ulikuwa mtego, au kisasi au VIta ya Kugombea Cheo na Madaraka katika Kazi yake, Vita ya Mirathi, Vita ya Migogoro ya Ardhi, au Vita ya kifamilia, n.k.
Mtuhumiwa anatajwa kuwa ni "Kaimu Mwalimu Mkuu," huenda hiyo ni Vita ya kugombea hicho Cheo Cha 'Mwalimu Mkuu' ambacho anakaimu kwa wakati huu wa sasa. May be!
Walimu wanapaswa wawe makini sana kwenye maisha yao.
mkuu kiingereza kingi unazingua,nimekwambia labda ithibitike ajatenda ili okithibitika bila kuacha shaka ametenda hicho kiingereza chako hakina maanaJe, unajua kitu kinachoitwa "Characters Assassination and Smear Campaign Propaganda"??
Miaka 30 lupango akitoka atakuwa anastaafu. Tamaa nyingi, mbele kiza kitupu.Mpuuzi sana jela inamhusu