Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Je mfano tukasema hakutibiwa bara Bali alitibiwa na JMT ..vipi hapo pamekaaje na kipi ni kipi hapa?
Haya mambo mliyataka wenyewe kwani Akina Mtikila, Maalim Seif , Lissu waliona mbali lakini CCM wakavaa miwani myeusi na kujitis pamba masikioni mwisho wakajaribu kuwamaliza.Leo mambo yameanza , hata bado yatakuja makubwa zaidi Kama wataendelea kuzembea na kula kwa urefu wa kamba zao
 
Umekuja huku 82 umekaa kwenye kambi ya jeshi , utajua mabonde ya mpunga? Huku Pemba hwendi kilomita 2 utakuta bonde la mpunga . Sisi maisha yote hatununui Michele dukani , tunalima wenyewe.
Hapo ndo unaonyesha unyonge wenu.
Zaidi ya kula tu unacholima, tena kiduchu, hata kushiba hamshibi, achia mbali kuuza nje ya kijiji chenu.
 
Hapo ndo unaonyesha unyonge wenu.
Zaidi ya kula tu unacholima, tena kiduchu, hata kushiba hamshibi, achia mbali kuuza nje ya kijiji chenu.
Nyinyi msio wanyonge sasa mnalalamika kitu gani na pesa mnazo si mjitibu wenyewe. Na ilikuwaje tena mkawa mnatembeza bakuli kila mahali mkiomba? Halafu kwa ulivyo kuwa mbangaizaji yaani Tanganyika lote umekuja kutafuta maisha huku unakosema tuko wanyonge?
 
Sawa
Tanzania kuna serikali mbili
kwa maana hiyo kuna bajeti mbili
serikali ya Zanzibar na bajet yake ya watu 1.5 millioni
Serikali ya Muungano Tanzania na bajet yake ya watu millioni 60.
katika katiba inasema wazanzibari wote ni watanzania lakini si watanzani wote ni wazanzibari.

Ikiwa bajet ya zanzibar ya Afya kuhudumia 1.5 millioni iwe ndio hivyo lakini Serikali ya Zanzibar haitoweza lkuendesha mambo yake ikiwa tuta chukuwa watu wa ziada.
Kwa hivyo wale walokuwa si wazanzibari walnatakiwa kuchangia huduma wanazo pata pale zanzibar
kama:
Afya
Elimu
Kilimo
Na nyenginezo.

Ukenda UAE au Oman Wale wenyewe wana pata baadhi ya huduma bure lakini wakaazi au wageni wanalipia
Canada mzalendo au mwananchi hupta huduma ya Afya au elimu kwa bei nafuu
lakini mgeni au mkaazi huwa analipa zaidi.

Na hii ipo sehemu nyingi duniani
 
Mkuu tatizo linalo jitokeza ni ubaguzi na ubinafsi wa kusikitisha.
Hao watanganyika mnao walalamikia wako wangapi?
Hawazidi hata laki mbiki.
Ninyi mko wangapi Tanganyika?
Mwaweza fika laki 6.
Tukiamua kufukuzana jipige picha.
 
Ni uhalisia ila kuna mambo hayatakiwi kusemwa kwa sauti kubwa sana, ni kunong'onezana tu. Ni kama vile CCM wajitokoze waseme huwa wanagawa awamu za urais galatia-kobaz-galatia-kobaz...

mkuu hiyo ipo wazi na wala haihitaji kufichwa, tatizo ni watanganyika wako over emotional kwenye kila kitu.

serikali ya Zanzibar waliamua kutoa huduma za afya bure kwa watu wao kwa miaka mingi sana, watanganyika kuenda kupata hudama za afya bure kule sio jambo sahihi, SMT ndio responsible ya masuala ya afya kwa watanganyika na sio SMZ.
Na tatizo kubwa linalojitokeza ni kuwa SMZ kwa sasa imekua ikizidiwa na idadi ya watu wanaowapa huduma.
 
ata sikuelew nimekuuliza vitu vingine kabsa ila unanambia ndoa jinsia moja sijui ndo nin hiki.
Kwani Tanganyika haikuwa nchi na Raisi wake na Zanzibar haikuwa nchi na Raisi wake? Kama ziliungana si zote nchi ? Sasa uke na uume utoke wapi hapo ? Kama si ushoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…