Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Safi sana, enyi machogo mnang'ang'ania Muungano vipi hapo kwamba haipaswi kujibiwa kwenye hospitals zao yaani ukiumwa ghafla upande boti au ndege uwahi kwenu bara ukatibiwe.
Je hospitali za Bara hao Wazenji nao waendelee kujibiwa au sasa ndiyo kila mtu awe anatibiwa kwao? Wameshachota vya kutosha, wamewakwangua wanaamini yao yaneshanyooka sasa wanataka kila mtu ajifanyie yake kivyakevyake.
 
Ni uhalisia ila kuna mambo hayatakiwi kusemwa kwa sauti kubwa sana, ni kunong'onezana tu. Ni kama vile CCM wajitokoze waseme huwa wanagawa awamu za urais galatia-kobaz-galatia-kobaz...
Katoliki-Suni-Katoliki-Suni.
 
Kipi cha muhimu zaidi kwako kati ya nchi yako na dini yako??
 
Mzanuibar halis anaamin muungano unachelewesha maendeleo zanzibar. Tukijimega waarabu wanakuja kuwekeza hapa kunakuwa Dubai ndo mana hawajali kabisa

Na hawa jamaa kuna kitu wametuzidi ila sisi hatutaki kukubali, hata furs kimataifa kwa mtu mmoja mmoja wanazo nyingi tofauti na sisi pamoja na uchache wao
 

Fact​

 

Fact​

 
Wako sahihi,suala la Afya sio la Muungano
 
Majitu ya pwani ni malegelege kuanzia akili mpaka mwili

Wameuza ufahamu kwa majini hakuna walichobakiwa nacho

Msipojipata mmepatikana

Wameuza ufahamu kwa majini lakini wanatibiana Bure wewe ambaye unafahamu wako kamili unaona wivu wao kujitibia Bure, nani ni mpuuzi hapa?​

 
Tatizo lipo hapo
Tena umeenda mbali waislamu wa Tanganyika wapo tayari kumtetea mwarabu wa oman achukue bandari kuliko mtanzania.
Kiujumla hawa siyo wenzetu
 
Boss, mpango wa tiba Bure ni kwa wanzibar ila kama unalipia matibabu basi huduma ni kwa wote,shida iko wapi hapo?


Binafsi naamini kabisa lau Zanzibar isingekuwa kwenye muungano wangefika mbali sana
 
Kwani kumetokea nini kwenye hii Nchi matamko yanakuwa mengi? hapo zamani tulikuwa tunaishije? Nafikiri kuna mahala hapako sawa pana hitaji kutazamwa kwa kina ili pasije kupasuka zaidi.
 
Sijui Nyerere aliwaza nini kuingia muungano huu wa hovyo kutokea.
Ni wehu Nyerere alifanyaga kwa kuogopa kupinduliwa na waarabu. Nashangaa wanaoamini kuwa Nyerere alifanya kitu kizuri. Nyerere alituingiza kwenye matatizo mengi sana kama taifa. Na waliozaliwa kizazi chake cha uongozi ndo wengi wao wanaendeleza ufala mpaka leo.
 
Anawawakilisha wazanzibar wote ambao wapo Tanganyika na wameshikilia nafasi mbalimbali huku, hiyo ndiyo taswira yao..tujue tumekaliwa na wanafki tu. Sasa hapo hata ukipata ajari yeyote ukiwa Zanzibar ujue kutibiwa na majaaliwa..ukiumwa ghafla ni yaleyale kudra za Mwenyezi Mungu
 
Sasa

Sasa Muungano gani huu wakipumbavu?
Sio wa kipumbavu ni Muungano Kwa baadhi ya sekta ambazo nyie wa Bara ndio mlilazimisha na kuchagua hizo sekta mfano ulinzi,mambo ya Nje,Elimu ya Juu,Mambo ya ndani ,Sarafu ya fedha na mambo ya Nje.

Mengine yote kuanzia Bandari,Mafuta ,Barabara,Afya,Elimu nk havihusiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…