Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Pambaf, ukiwa na akili ndogo huwa mnsongea upuuzi kama mamsapu wenu.Una hela ukiitoa wapi , Nyerere aliichukuwa pesa yote ya Zanzibar Narodjni Bank , London , 500 milioni Ponds wakati pesa yake iliisha kwenye vita na Uganda. Akaawaambia Watanganyika wakaze mikanda , .Dollar moja ilikuwa shilingi 7 tu . Leo iko ngapi utajua mwenyewe
Nyie mliozaliwa kwa nyuma mna maratizo.Kafie mbele, chogo mjinga.
Empty head.Pambaf, ukiwa na akili ndogo huwa mnsongea upuuzi kama mamsapu wenu.
Zanxibar mna hela gani ya kuitwa hela.
Bili zabumeme tu mnapewa bure miaka na miaka.
Miaka ya Nyerere ulikuwa unatokwa kamasi tu, na uchumi wenu wa karafuu ulikuwa unawatosha kununua urojo.
Washamba ninyi.
Sawa mjuba.Saivi Tuanze na kampeni ya kuwanyang'anya Wapemba Wote Maeneo Yetu na kususia biashara zao huku Tanganyika pamoja na kunyima matibabu wala msaada wakipatwa na shida kwa sababu mnaona wanachowafanyia ndugu zetu kule Porini kwao
Nyerere alituingiza katika janga kubwa mno! Inasikitisha mno kuona Watanganyika hatjuielewi kabisa, na ambao ungetegemea wangesema chochote kwa maslahi ya matumbo yao wako kimya kabisa! Wazanzibari wako wazi wanataka nini! Na Samia kwa makusudi kabisa ameamua kuutumia huu mwanya kuimarisha uzanzibari! Watanganyika tumekwisha!Sijui Nyerere aliwaza nini kuingia muungano huu wa hovyo kutokea.
Kama ni hivyo Wazanzibar wanafanya nini bara?Yes yuko sahihi
Kila mtu si ana kwake au kwao?
Naunga mkono hoja yake
Mbona huko mliko ndo zaidi, hili bichwa tupu mlilotupa linachanganyikiwa kila siku.Empty head.
Kama ni hivyo Wazanzibar wanafanya nini bara?
Na ni kwanini waziri wa fedha na Mzanzibar??
Hakuna mzanzibar mwenye utu au roho nzuri, bado hajazaliwa.Hawa ndugu wangekuwa wana uwezo wa kuzalisha chakula wasingeleta bara, viroho vibaya vipo juu sana, japo si wote.
Matusi ndio mwisho wa kushindwa hojaPambaf, ukiwa na akili ndogo huwa mnsongea upuuzi kama mamsapu wenu.
Zanxibar mna hela gani ya kuitwa hela.
Bili zabumeme tu mnapewa bure miaka na miaka.
Miaka ya Nyerere ulikuwa unatokwa kamasi tu, na uchumi wenu wa karafuu ulikuwa unawatosha kununua urojo.
Washamba ninyi.
Kamwambie Mafwele maneno hayoHakuna mzanzibar mwenye utu au roho nzuri, bado hajazaliwa.
Lissu anakupa shule hapaPesa za bara ni za Muungano, pesa za zanzibar ni za Wazanzibar
Ndio maana hakuna waziri wa fedha wa zanzibar kutoka bara ila kuna waziri wa fedha bara wa kutoka zanzibar
Kama mnavyojiona nyinyi Waroma na mayahudi au vipi ? Anayechochea machafuko ni nyinyi mliotuvamia 1964 na kuondosha kiti chetu UN . Mkatuibia pesa zetu Za EA Community nä kutuchukulia pesa zetu kule Bank ya London kugharamia vita vyenu na UgandaKwa Hali ilivyo sasa huu uropokaji utachochea machafuko:
Cha msingi Watanganyika wote warudi bara na Wazanzibari wote warudi visiwani:
hatuna muda wa kupoteza kwa hao wapumbavu:
Mwarabu kawapandikiza chuki kwa wasio Waislamu Waarabu:
Wazanzibari wanajiona ni Waarabu:
Ni kama mataahira fulani hivi
Yes yuko sahihi
Kila mtu si ana kwake au kwao?
Naunga mkono hoja yake
Kwani nyinyi ni wanawake?Wazanzibar hawatupendi
Zanzibar miaka yote ikijilisha yenyewe , ni hivi karibuni tu baada ya kuzidiwa na wahamiaji kutoka Tanganyika na nchi nyengine Za Afrika Mashariki ndiyo tukaanza kuagiza chakula bara. Hicho chakula bahati mbaya hamtupi bure , tunanunua , Kama hamtotuuzia mazao yenu yatajiozea sokoni na mtakosa ajira kwa kukosa kufikiriVipi na bara wakisema wamechoka kuzalisha chakula kuilisha Zanzibar, wachoka kuzalisha umeme na kuusambaza kwenda Zanzibar na vitu vingine kibao...