Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
"Kwa Sasa kuna muda naamka asubuhi nime vimba kichwa, mara naamka upande mmoja wa mwili wangu hauna nguvu, nimeenda hospital dakitari kaniambia nina dalili zote za Kupalalaiz Kuna mishipa haifanyi kazi, namuwaza sana mwanangu nitamuachaje.
Lakini watu hawajali napitia nini wananihukumu tu Kila siku, kwanini Mimi tu"
Pia Irene Uwoya amesema, Kajala Kwa sasa wakumtoa kwenye changamoto aliyo nayo siyo pesa Wala mtu bali ni MUNGU tu. Amesema Kajala kwenye kipindi cha A list