The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,281
- 49,313
Nimeanza kumjuwa kajala na vurugu zake miaka hiyo yuko darasa la sita kumbukumbu primary school
Walikuwa na team yao wakusasambua,ila kuna mwenzake miaka mingi aliamua kutulia na aliolewa
Hata mitandaoni humuoni
Fujo za langata,beach parties wameleta sana fujo hawa
Kuhusu ku paralyze mmh maana hawa nao hawaaminiki
Ova
Nilikutana nae mara ya kwanza akiwa form ten, tukawa bus moja (Ruvuma Tours Line). Tulijikuta kila mara tunatizamana nikasema huyu binti mrembo, tukashuka Comfort Kitonga tukapiga lunch safari ikaendelea hadi mnazi mmoja enzi hizo. Kila mmoja akatawanyika bila kuongea chochote.
Siku inayofuata nimekatiza zangu O'Bay Police, nikasikia mtu ananiita weweee weweee, kugeuka, kumbe Kajala (niseme tu alikua mzuri wa umbo).