moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nakuelewa.Zisije zikawa drama nazo maanq hawa wacheza simema huwa hawaaminiki
Wacheza sinema wakitaka kuongeza umaarufu wanazua jambo ili wasikike, wakumbukwe na wasisahulike
Nakuelewa.Zisije zikawa drama nazo maanq hawa wacheza simema huwa hawaaminiki
Kuna mwenzake mmoja alikuwa mtoto wa kota za Ostabey Polisi, White sana hivi.Nimeanza kumjuwa kajala na vurugu zake miaka hiyo yuko darasa la sita kumbukumbu primary school
Walikuwa na team yao wakusasambua,ila kuna mwenzake miaka mingi aliamua kutulia na aliolewa
Hata mitandaoni humuoni
Fujo za langata,beach parties wameleta sana fujo hawa
Kuhusu ku paralyze mmh maana hawa nao hawaaminiki
Ova
Shughuli wamezianza muda sana watoto wa mjini hapo, mwenzake katulizwa ndaniHao wote si wamekulia kota hapo,enzi hizo tuko langata&fm club wakija na convoy lao tunasema leo shuguli ipo 😄 lzm wasasambue
Ova
Sana aise,wamepigana vita vingi hawaShughuli wamezianza muda sana watoto wa mjini hapo, mwenzake katulizwa ndani
Chai"Kwa Sasa kuna muda naamka asubuhi nime vimba kichwa, mara naamka upande mmoja wa mwili wangu hauna nguvu, nimeenda hospital dakitari kaniambia nina dalili zote za Kupalalaiz Kuna mishipa haifanyi kazi, namuwaza sana mwanangu nitamuachaje.
Lakini watu hawajali napitia nini wananihukumu tu Kila siku, kwanini Mimi tu"
Pia Irene Uwoya amesema, Kajala Kwa sasa wakumtoa kwenye changamoto aliyo nayo siyo pesa Wala mtu bali ni MUNGU tu. Amesema Kajala kwenye kipindi cha A list
View attachment 3670393
View attachment 3670390
Pole sana Kajala ,hapo cha msingi ni kufanya mazoezi sana ,fanya fasting ,acha kula vyakula vya kukaanga ,wanga ,mafuta ,yaani kwasasa jikite kwenye mboga mboga na matunda yenye afya kama apple."Kwa Sasa kuna muda naamka asubuhi nime vimba kichwa, mara naamka upande mmoja wa mwili wangu hauna nguvu, nimeenda hospital dakitari kaniambia nina dalili zote za Kupalalaiz Kuna mishipa haifanyi kazi, namuwaza sana mwanangu nitamuachaje.
Lakini watu hawajali napitia nini wananihukumu tu Kila siku, kwanini Mimi tu"
Pia Irene Uwoya amesema, Kajala Kwa sasa wakumtoa kwenye changamoto aliyo nayo siyo pesa Wala mtu bali ni MUNGU tu. Amesema Kajala kwenye kipindi cha A list
View attachment 3670393
View attachment 3670390
Wasanii hata wakitoa taarifa zao za kweli zinaleta wasiwasi kwasabau wanapenda sana KIKI.Zisije zikawa drama nazo maanq hawa wacheza simema huwa hawaaminiki
Drama tu inawezekana
Ova
Duh chanuo ndiyo mwambaWasanii hata wakitoa taarifa zao za kweli zinaleta wasiwasi kwasabau wanapenda sana KIKI.
Just Imagine Chanuo alileta hadi KIKI za ndoa ili aboost Muziki wa YJ Kiboko.
Ili aendelee kutombesha...Mungu ampiganie.
Duh chanuo ndiyo mwamba
Ni msanii au
Ova
Duh ndy namjuwa leo
Hahaha for sure ,wengi front wasanii ila back bencha wauza nyama.Duh ndy namjuwa leo
Unajuwa nmeshawazoea wakina muogo mchungu,swebe,mzee small rip wakina Yvonne na mama yake ila
Hawa wa sahv wengi wadangaji wamejificha kwenye usanii hamna kitu wauza nyupi tu
Ova