Kajala; Madaktari wameniambia nakaribia kupalalaizi mishipa haifanyi kazi

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
"Kwa Sasa kuna muda naamka asubuhi nime vimba kichwa, mara naamka upande mmoja wa mwili wangu hauna nguvu, nimeenda hospital dakitari kaniambia nina dalili zote za Kupalalaiz Kuna mishipa haifanyi kazi, namuwaza sana mwanangu nitamuachaje.

Lakini watu hawajali napitia nini wananihukumu tu Kila siku, kwanini Mimi tu"

Pia Irene Uwoya amesema, Kajala Kwa sasa wakumtoa kwenye changamoto aliyo nayo siyo pesa Wala mtu bali ni MUNGU tu. Amesema Kajala kwenye kipindi cha A list
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.



 
Kupalalaizi ni kufanyaje ?
 
Stress za maisha zimeanza
Mwambieni muda wake umeisha akae kwa kutulia
 
Kwani ameacha mazoezi,maana kuna kipindi nilikuwa namuona sana kwenye gym...
 
Ule Bata mwenyew matatizo utuletee sisi shindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ