Kajala; Madaktari wameniambia nakaribia kupalalaizi mishipa haifanyi kazi

Kuna mwenzake mmoja alikuwa mtoto wa kota za Ostabey Polisi, White sana hivi.
 
Hawa celebrities wameifanya furaha katika maisha yao itokane na pesa nyingi za kuhongwa na sio uwekezaji yani wavae nguo za gharama, perfume za gharama, magari ya gharama, walale sehemu expensive na mbaya zaidi hawajui kufanya investment zitakazowahakikishia hayo maisha wanaishia kutegemea masponsa....na masponsa huko competetion na vitoto vya 2000 ni kubwa.....
 
Chai
 
Pole sana Kajala ,hapo cha msingi ni kufanya mazoezi sana ,fanya fasting ,acha kula vyakula vya kukaanga ,wanga ,mafuta ,yaani kwasasa jikite kwenye mboga mboga na matunda yenye afya kama apple.

Ukizingatia hayo nina imani hatopooza....kuhusu mwanao Mungu ndiyo anajua Kesho zetu ,unaweza ukawepo na akapata tabu vile vile ,wangapi wamepoteza wazazi wakiwa wadogo lakini sasa ni matajiri ,wana nafasi kubwa sector binafsi /serikali?
 
Wasanii hata wakitoa taarifa zao za kweli zinaleta wasiwasi kwasabau wanapenda sana KIKI.

Just Imagine Chanuo alileta hadi KIKI za ndoa ili aboost Muziki wa YJ Kiboko.
Duh chanuo ndiyo mwamba
Ni msanii au

Ova
 
Duh ndy namjuwa leo
Unajuwa nmeshawazoea wakina muogo mchungu,swebe,mzee small rip wakina Yvonne na mama yake ila
Hawa wa sahv wengi wadangaji wamejificha kwenye usanii hamna kitu wauza nyupi tu

Ova
Hahaha for sure ,wengi front wasanii ila back bencha wauza nyama.

Waigizaji wanaigiza kaole CD dukani kina dada wanaigiza ulokole miili buchani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…