Nimeanza kumjuwa kajala na vurugu zake miaka hiyo yuko darasa la sita kumbukumbu primary school
Walikuwa na team yao wakusasambua,ila kuna mwenzake miaka mingi aliamua kutulia na aliolewa
Hata mitandaoni humuoni
Fujo za langata,beach parties wameleta sana fujo hawa
Kuhusu ku paralyze mmh maana hawa nao hawaaminiki
Ova
Ukizoea kuishi maisha ya public maisha yako yote utakuwa wa public.Kichwa kinavimba?? Konde boy bakhressa punguza skadi na ballistics mwenzako ajinafasi
Aaah! Enzi hizo nilikua Jesus Boy balaa. Hiyo likizo yote tulikua nae. Mzee wake alikua pale O'Bay ila ndio hivyo tena hayo hayakua mambo yangu.😄 angekutunuku mbona
Ahh walisumbua aise
Tulikuwa tunawaita wasasambuaji wale
Sema angekuwa na akili ya kutulia ahh angekuwa mbali
Sema anapenda kujirusha
Hawezi kutulia
Hata yule ya jamaa wa bank
Smbdy F mpk anamuoa aise kila siku chrismas&idd 😄
Mwamba haambiliki hasikii
Mpk msala na jela juu Sema katoka kama unavyojuwa ukifanya kazi taasisi za fedha ukiaribu unapigwa blacklist
Mwamba yuko jela hku kjl anataka kufanya mafekeche aibetue mjengo 😄 kufoji sahihi ndy ukampeleka kjl segedance wenzake na mshuwa mmj wa bandari wakampigania kumtoa
Kwa hyo yule ana maisha fulani ya kujirusha
Ova
Kunani nawatu wenu huko daslamu lo??
Does it make you better than her?Mpuuzi tu alivyokuwa anatafuta attention mbona hakuja kwenye medias yamemtokea yakumtokea anakuja kutaka tena attention
Nakumbuka hilo balaa 😆Yule mwamba f ex bank employer alipoona kimenuka alikula kona TA hku akamuachia mpunga kjl
Akirudi wasepe nje ya nchi 😄 ahh ile hela mwenzake akawa anajirusha,mwamba anawasiliana na kjl yuko TA
sasa wazee wakambana kjl
Walimtumia kumvuta jamaa
Jamaa f anashuka ubungo tu wszee haoo wakamuokota,kjl akaachiwa
Ova
Apunguze kujichana misosi pamoja na vinywaji vitamtam, tatizo litaisha."Kwa Sasa kuna muda naamka asubuhi nime vimba kichwa, mara naamka upande mmoja wa mwili wangu hauna nguvu, nimeenda hospital dakitari kaniambia nina dalili zote za Kupalalaiz Kuna mishipa haifanyi kazi, namuwaza sana mwanangu nitamuachaje.
Lakini watu hawajali napitia nini wananihukumu tu Kila siku, kwanini Mimi tu"
Pia Irene Uwoya amesema, Kajala Kwa sasa wakumtoa kwenye changamoto aliyo nayo siyo pesa Wala mtu bali ni MUNGU tu. Amesema Kajala kwenye kipindi cha A list
View attachment 3670393
View attachment 3670390
roseKuna mwenzake mmoja alikuwa mtoto wa kota za Ostabey Polisi, White sana hivi.
Umesema wewe, basi case closed.Nimeanza kumjuwa kajala na vurugu zake miaka hiyo yuko darasa la sita kumbukumbu primary school
Walikuwa na team yao wakusasambua,ila kuna mwenzake miaka mingi aliamua kutulia na aliolewa
Hata mitandaoni humuoni
Fujo za langata,beach parties wameleta sana fujo hawa
Kuhusu ku paralyze mmh maana hawa nao hawaaminiki
Ova
Ngoja tuuone kwa uyu awe sampleHuo ugonjwa ni hatari usiombe uupate
It doesn't make me think I'm better than her. These are just people who seem to crave attentionDoes it make you better than her?