King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kama alianza bata miaka hiyo na hakupata "Kazeze" aka "gridi" basi yupo smart sana.Aaah! Enzi hizo nilikua Jesus Boy balaa. Hiyo likizo yote tulikua nae. Mzee wake alikua pale O'Bay ila ndio hivyo tena hayo hayakua mambo yangu.
Kama unavyosema, maisha ya bata alianza kitambo. Heka heka nazo kaanza kitambo sana.
Dooh 😅Aisee uwoya na Aunt Ezekiel sijawakatia tamaa bado
Wanakipindi chao, kina drama kibao...Kunani nawatu wenu huko daslamu lo??
Kweli mkuu nakuambia hao ipo siku aiseeDooh 😅