Huu ubuyu wa humu ni hatariiii kwa afya!!Warumi boss wangu itabidi arudi chuo cha mafunzo maana kaachwa mbaliii mnooo...
humu kuna umbea.....shikamooni
inevitable
humu kuna umbea.....shikamooni
sio munira huyoo...?!!
maana kuna demu alikua anaitwa munira nae alipinda hatariiiii!!!
Duh! nimeiogopa jf....data zote zinapatikana...Munira nae si alipewaga mimba na p funk...nilisomaga nae Forodhani
ndo huyo huyo na alivyopata mimba mahaba yakaisha
pfunky nyoko
P funk nyoko kweli...alikuwa anawamix...alafu Munira kwao waislam safi lkn mtoto du...
P funk nyoko kweli...alikuwa anawamix...alafu Munira kwao waislam safi lkn mtoto du...
Madame B toka wakukumbushe saidii wako wa kule mtwara huku wala hupitihumu kuna umbea.....shikamooni
pfunky anakuchezea akikupa mimba ndo baas
siku moja mda kidogo nlikutana na muny mwenge lloh alichoka hatarii hapo ndo kashadampiwa
pale forodhani kuna dada mmoja nimemsahau jina alikua anatanua na mutie(rip)
alikua ana gg hosteli katutesa sana ijumaa demu anaenda kwa mzee madiba kula gudtime na rodney jumapili wanarudi zao j3skonga
aiseeehh tulikua tunablow mapigo sana yaani!!
pfunky anakuchezea akikupa mimba ndo baas
siku moja mda kidogo nlikutana na muny mwenge lloh alichoka hatarii hapo ndo kashadampiwa
pale forodhani kuna dada mmoja nimemsahau jina alikua anatanua na mutie(rip)
alikua ana gg hosteli katutesa sana ijumaa demu anaenda kwa mzee madiba kula gudtime na rodney jumapili wanarudi zao j3skonga
aiseeehh nilikua nablow sana yaani!!
Wengi wanaotesa name kutanua wakiwa shule mtaani wanakuwa alosto.. Me classmate wangu wa kike waliokuwa hawashikiki ukiwaona leo mtaani wanavyohusle utawahurumia. Waliojitahidi Sana walipata ualimu wa primary. Matokeo yake wakikuona unasonga vizuri wanakuonea wivu na kusnitch kumbe wao walishatesa wakati wao
Sio Gift kweli...maana huyo safari za nje zilikuwa haziishi...Forodhani watu walitesa i see...ikifika muda wa lunch watu wanashindana kuingia kwenye mindinga ya ukweli...enzi hizo kina Koletha ndo wenyewe
Alikua anatoka na Nsembo na kipindi hiko walikua bado mashoga na Wema..., ilikua mtifuano nguo kuchanika sijui wakaja kuishia wapi...
Alikua gg pale upanga yaani mabinti wamekula gudtii enzi za shule hao
mtu anaingia kwenye gari hiloo
baba ake hana