Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Uwiii umesema Wema cha mtoto? Ndo maana ukiona picha anazopiga na mama yake mzazi yani mama wa watu unamuona kabisa USO hauna furaha, Una huzuni ya ndani... Sasa binti utembee na baba yako wewe si ushajichoka jamani? Alafu kuigiza kwenyewe hajui yuko Kama anaongea peke yake..
Nimeamini zile fake account insta ni za watu wa karibu yao maana wabayoyaandika ni ya ndani mnoooooo si rahisi MTU wa nje kuyajua
Dinazarde umesikia ya madam wako hayo??
 
Last edited by a moderator:

wema tatizo moja mda wote yuko location(japo wema simpendi ila ndo ukweli)
ila enzi kay yupo kwenye chati kulikua hakuna mitandao km leo
kay jamani alikua mtata jamani mpaka kufukuzwa kwao na laana juu
mbona sasa hv katulia sana
jiulize km kweli anaheshimu ndoa ashawahi mtembelea mmewe gerezani?
she was there for cash and show off to public
shetani akizeeka anakua malaika jamani
 
Last edited by a moderator:

Kutembea na baba yake si kwelii banaaa hhhhhaa mmemzidishiaaaa yaonee
 
Last edited by a moderator:

Rayc kawaida sijui hatongozwagii na sasa hivi zama ana mimba
 

Hhhhhhaaaaaa
 
Nasikia eti kajala alikuwa Kama geto boy flani mkorofiiii malayaaaa. Club au party za town wanaomjua wanasema eti alikuwa hakosi hadi shule ikamshinda. Eti shost ni kweli alitembea na baba yake Kama wanavyodai?

Za kuambiwa changanya na zako
 
Rayc kawaida sijui hatongozwagii na sasa hivi zama ana mimba

heee yaani nimemuon ig yuko studio shoga kavaa gauni na raba ndo mimba kiti gani?!!kkaaa
ray c mwizi nae alikua mtata jamani kuna siku mpaka alizomewa kwa kuvaa vichupi!!ye na mwenzie!
 
yapo cheki shule ya sunrise paula paul peter

nimeshayaona hamna kitu mule englsh medium wastani C wakati mdongo wangu kasoma kayumba ana A
kajala anaharibu mtoto
 
Kutembea na baba yake si kwelii banaaa hhhhhaa mmemzidishiaaaa yaonee

hujawahi skia hiyoo ..?!!nimeona live mwanafunzi wangu form4 this year
mama mzazi ndo aliwafumania baba na mwana kitandani kwao walikomzaa naye anatafta mtoto mwingine na baba ake
mama akapiga ukunga akazimia!!!mi sishangai ht kidogo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…