Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Uwiii umesema Wema cha mtoto? Ndo maana ukiona picha anazopiga na mama yake mzazi yani mama wa watu unamuona kabisa USO hauna furaha, Una huzuni ya ndani... Sasa binti utembee na baba yako wewe si ushajichoka jamani? Alafu kuigiza kwenyewe hajui yuko Kama anaongea peke yake..yaani sio unaskia ndo ukweli jamani nyie kajala ametulia sanaaa
han upole wowote yule sura mbili yule
hakuna hata wa kumzushia alitulia baada ya kuolewa
na ndo maana aliolewa ghafla japo tulishangaa sana
umalaya k asili yake
alipinda sana wema chamtoto tu!!
Nimeamini zile fake account insta ni za watu wa karibu yao maana wabayoyaandika ni ya ndani mnoooooo si rahisi MTU wa nje kuyajua
Dinazarde umesikia ya madam wako hayo??
Last edited by a moderator: