Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Walikutana changu muendelevu wema,,wale wale tu wakiamua kutaja waliotembea nao wanajaza basi 5 ,5
Hehehe hadi umtaje Wema roho yako itulie mbona mimi Uzi wa vanila sikumtaja kajala? Hahaha Leo umezidiwa. Hehehehe kajala kurumbembe la kimataifa ndio lilimfundisha Wema wa watu mambo haya
 
Warumi ana kidemu kimembana mpaka kimuachie ndio aendelezee umbeaaaa
Kuna mtu kanichekesha eti anampenda Ane makinda aiseee
Hahaha nimeona watu wamejichokea na maisha..atafute picha yake akapigie puli
 
Hehehe hadi umtaje Wema roho yako itulie mbona mimi Uzi wa vanila sikumtaja kajala? Hahaha Leo umezidiwa. Hehehehe kajala kurumbembe la kimataifa ndio lilimfundisha Wema wa watu mambo haya

Hhhhhhhhaaaq basi umeshinda lakini haipunguz mi kumpenda kajalaa
 
Yap
Kipindi yupo forodhani alikuwa anatembea na majani

Nashangaa kajala nae kapita halafu wakaendelea na ushosti ( ila kajala anasifa ya kukwapua vya wenzie)

wale walipinda sana enzi hizo
munnu nae alimshndwa majani vipigo na baadae alianza kufubaa msichana yule acha tu...!!!
 

possible maana dah ht nywele....!!!
 
Imelda nae mbeya, apo unataka kumrusha roho mama ubaya tu huna lolote, sasa apo cha ajabu nn?? Wema mwaego pole wasikuzingue hao na wewe beba mbwa wako ukauze nae sura mliman city

uuuwiiii warumi???? ote! ote! ote! wewe ni kiboko.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…