Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Walikutana changu muendelevu wema,,wale wale tu wakiamua kutaja waliotembea nao wanajaza basi 5 ,5
Hehehe hadi umtaje Wema roho yako itulie mbona mimi Uzi wa vanila sikumtaja kajala? Hahaha Leo umezidiwa. Hehehehe kajala kurumbembe la kimataifa ndio lilimfundisha Wema wa watu mambo haya
 
Hehehe hadi umtaje Wema roho yako itulie mbona mimi Uzi wa vanila sikumtaja kajala? Hahaha Leo umezidiwa. Hehehehe kajala kurumbembe la kimataifa ndio lilimfundisha Wema wa watu mambo haya

Hhhhhhhhaaaq basi umeshinda lakini haipunguz mi kumpenda kajalaa
 
Yap
Kipindi yupo forodhani alikuwa anatembea na majani

Nashangaa kajala nae kapita halafu wakaendelea na ushosti ( ila kajala anasifa ya kukwapua vya wenzie)

wale walipinda sana enzi hizo
munnu nae alimshndwa majani vipigo na baadae alianza kufubaa msichana yule acha tu...!!!
 
Huyo paula baba ake mwenyewe huyo P.funk hana huakika kama ni mwanae, mana kila akilewa anaanza kulalamika ooh mtoto hafanani na mimi, ooh mi shombe lakini toto pure black, anasema alikuwa anampa kajala kipigo cha mwizi kay mana alikuwa anajua kajala mal.aya ndo mana na ye aliamua zaa na mke wa mtu makusudi.yani ha feel kabisa kama paula ni mtoto wake anahis alipigiwa, mana kay enz hzo alikuwa moto

possible maana dah ht nywele....!!!
 
Imelda nae mbeya, apo unataka kumrusha roho mama ubaya tu huna lolote, sasa apo cha ajabu nn?? Wema mwaego pole wasikuzingue hao na wewe beba mbwa wako ukauze nae sura mliman city

uuuwiiii warumi???? ote! ote! ote! wewe ni kiboko.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom