Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametoka kitambo..ila ndo hivo full kufuliaNirudi nyuma kidogo,
Huyo aliyekua jamaa yake wa magereza alitoka au?
chumaaa uleteeeeeeeeSamahani mkuu...
Kwani hao ni wakina nani huko daslam...??🤔
Be free ni hela yako tu kuna mwanachuo aliwahi mlamba kwa million kadhaa. Mwaka flani kama utani tu Hivyo ni ww tu na centi zakohiloo aloo neno mkuuuuuu thx unaweza gusa mzigo asbh una bawasili ya ajabu unashangaa imetoka wapi loh
Sio watamu hao.. nakuambia.. tuna uzoefu sie banaa.. ila Uwoya ni mnonoWw wasemaje umeona twerk contest hiyo. 🤣🤣🤣🤣View attachment 2681806
Hawa ni wachoma mahindi yale yanayowekewa ndimu,chumvi na pilipili hapo dasilamu..Ndio kina nani hao huko Daslam?
Acha kutuchora, tunajua unaishi magomeni...Ndio kina nani hao huko Daslam?
Sawa wife,umeshapika?Acha kutuchora, tunajua unaishi magomeni...
A R V?Nirudi nyuma kidogo,
Huyo aliyekua jamaa yake wa magereza alitoka au?
Faraji alitoka...yuko tbtNirudi nyuma kidogo,
Huyo aliyekua jamaa yake wa magereza alitoka au?
Faraji alitoka...yuko tbt
Harusi yao hata mm nlihudhuria
Ilifanyika police officers merse
Kiufupi kajala ni mwanamke wa kutumia tu starehe kwake mbele
Ova
Well saidView attachment 2681797
Kajala alipoanza mahusiano na Pfunk Majani, Pfunk aliyumba sana akapigwa bao na kina masterJ, Mikamwamba na wengine wengi, wakongwe wenzangu mnawakumbuka.
Kajala akafunga ndoa, mume akafungwa magereza, yeye aliponea baada ya wema kumlipia fedha alizopewa na mpenzi wake CK.
Kwa ulaku wake, Kajala akamwibia Wema yule bwana, kilichompata bwana yule baada ya kudate Kajala alifukuzwa kazi serikalini na kupandishwa mahakaman kwa ufisadi na uhujumu, alifungwa na kufilisika kabisa. Sasa hivi anachoma mishkaki.
Harmo alipotoka WCB alipata deals nyingi na endorsements, lakini alipolianzisha na Kajala makampuni hayakuongeza mikataba, wasanii hadi machawa wa kondegang waliachana nae. Hilo ni gundu.
Rayvan alipodate Paula wa Kajala alipotea kwenye Raman had akamrudia mkewe, hadi Sasa hajakaa sawa bado kibiashara.
Nikimtazama Marioo tangu aanzane na Paula wa Kajala, umaarufu unapungua.
Je, hili sio gundu lililopindukia?
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app