Kajala na Paula wana gundu gani?

Kajala na Paula wana gundu gani?

Cha kushangaza wanadanga lakini mwisho wa siku wanakuwa masikini viuongo vimechakazwa vya kutosha. Udangaji ungekuwa na faida Wema sepetu angekuwa tajiri . Ushauri tu Kwa mnaouza hivyo viungo wekezeni kwenye viwanja na ujenzi wa nyumba udangaji una mwisho.
Ke wenye nyota za pesa hawafaidiki nazo, wanatumika Kama madaraja wafaidike wengine. Check walopita kwa wema
 
View attachment 2681797
Kajala alipoanza mahusiano na Pfunk Majani, Pfunk aliyumba sana akapigwa bao na kina masterJ, Mikamwamba na wengine wengi, wakongwe wenzangu mnawakumbuka.

Kajala akafunga ndoa, mume akafungwa magereza, yeye aliponea baada ya wema kumlipia fedha alizopewa na mpenzi wake CK.

Kwa ulaku wake, Kajala akamwibia Wema yule bwana, kilichompata bwana yule baada ya kudate Kajala alifukuzwa kazi serikalini na kupandishwa mahakaman kwa ufisadi na uhujumu, alifungwa na kufilisika kabisa. Sasa hivi anachoma mishkaki.

Harmo alipotoka WCB alipata deals nyingi na endorsements, lakini alipolianzisha na Kajala makampuni hayakuongeza mikataba, wasanii hadi machawa wa kondegang waliachana nae. Hilo ni gundu.

Rayvan alipodate Paula wa Kajala alipotea kwenye Raman had akamrudia mkewe, hadi Sasa hajakaa sawa bado kibiashara.

Nikimtazama Marioo tangu aanzane na Paula wa Kajala, umaarufu unapungua.

Je, hili sio gundu lililopindukia?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Mlango wa nane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote sio. Bora kujiokotea watoto wa chuo
Mi hua nashangaa sana watu na hela zao unawakuta wanakula vikongwe hao kina kajala, wema sijui uwoya watu wameshatumika tangu miaka ya 90 hadi leo 😀. Wakati kuna vitoto vya chuo miaka 21 - 24 viko hot balaa. Sijui ni udomo zege au ni nini mi hua sielewi kabisa..
 
View attachment 2681797
Kajala alipoanza mahusiano na Pfunk Majani, Pfunk aliyumba sana akapigwa bao na kina masterJ, Mikamwamba na wengine wengi, wakongwe wenzangu mnawakumbuka.

Kajala akafunga ndoa, mume akafungwa magereza, yeye aliponea baada ya wema kumlipia fedha alizopewa na mpenzi wake CK.

Kwa ulaku wake, Kajala akamwibia Wema yule bwana, kilichompata bwana yule baada ya kudate Kajala alifukuzwa kazi serikalini na kupandishwa mahakaman kwa ufisadi na uhujumu, alifungwa na kufilisika kabisa. Sasa hivi anachoma mishkaki.

Harmo alipotoka WCB alipata deals nyingi na endorsements, lakini alipolianzisha na Kajala makampuni hayakuongeza mikataba, wasanii hadi machawa wa kondegang waliachana nae. Hilo ni gundu.

Rayvan alipodate Paula wa Kajala alipotea kwenye Raman had akamrudia mkewe, hadi Sasa hajakaa sawa bado kibiashara.

Nikimtazama Marioo tangu aanzane na Paula wa Kajala, umaarufu unapungua.

Je, hili sio gundu lililopindukia?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Tunaita jicho la tatu ambalo wanadam wengi hawanalo.
 
MLANGO WA 8!!
 
Back
Top Bottom