Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Ni Msukuma huyo🤔Nimevuta picha Kajala anatoka majarubani anakula michembe😁
Typical Sukuma woman. Dar inapendezesha sana.
View attachment 2681797
Kajala alipoanza mahusiano na Pfunk Majani, Pfunk aliyumba sana akapigwa bao na kina masterJ, Mikamwamba na wengine wengi, wakongwe wenzangu mnawakumbuka.
Kajala akafunga ndoa, mume akafungwa magereza, yeye aliponea baada ya wema kumlipia fedha alizopewa na mpenzi wake CK.
Kwa ulaku wake, Kajala akamwibia Wema yule bwana, kilichompata bwana yule baada ya kudate Kajala alifukuzwa kazi serikalini na kupandishwa mahakaman kwa ufisadi na uhujumu, alifungwa na kufilisika kabisa. Sasa hivi anachoma mishkaki.
Harmo alipotoka WCB alipata deals nyingi na endorsements, lakini alipolianzisha na Kajala makampuni hayakuongeza mikataba, wasanii hadi machawa wa kondegang waliachana nae. Hilo ni gundu.
Rayvan alipodate Paula wa Kajala alipotea kwenye Raman had akamrudia mkewe, hadi Sasa hajakaa sawa bado kibiashara.
Nikimtazama Marioo tangu aanzane na Paula wa Kajala, umaarufu unapungua.
Je, hili sio gundu lililopindukia?
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Cha ajabu sasa yeye kaishia kuwa hoe hae, hata fadhila hawakumbukiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kajala anagundu sana
Mcheki wema kila aliepita nae KATOBOA[emoji4]
Wamemwachia shahawa tuCha ajabu sasa yeye kaishia kuwa hoe hae, hata fadhila hawakumbukiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno khaaahWamemwachia shahawa tu
Huyo ni mlango wa 7Kajala sio mara ya kwanza kusikia hii ya kua na gundu. Ukidate naye lazima uangukie pua
Huyu jamaa naye kumbe anaweza kutoa laana duh 😆Laana/ladhi ya P Funk
Wamuige mdangaji Mwandamizi Zari anavyochuma pesa.Cha kushangaza wanadanga lakini mwisho wa siku wanakuwa masikini viuongo vimechakazwa vya kutosha. Udangaji ungekuwa na faida Wema sepetu angekuwa tajiri . Ushauri tu Kwa mnaouza hivyo viungo wekezeni kwenye viwanja na ujenzi wa nyumba udangaji una mwisho.