Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?

Namuonea huruma P Funky,aliwahi kunirekodia single mwaka 2000 sema ilibuma tusipoangalia tutampoteza kwa sonona
Sio ilibuma, sema alikukimbiza haukuwai kurekodi na vijimbo vyako vya kibwege, wapumbavu kitaa wanakusifia kuwa mwanaaaa unajua kuimba kumbe ni kimeo tu haujui kuimba.

Acha hasira za kufukuzwa studio.
 
Badilisha sio Ovyo ni hovyo....akili mnemba .kizazi hiki tunakipoteza kiswahili sanifu.....Kajala
 
Kajala toka oysterbay..jitegemee ,silaha yake kubwa tako hana kingine
 
Sio ilibuma, sema alikukimbiza haukuwai kurekodi na vijimbo vyako vya kibwege, wapumbavu kitaa wanakusifia kuwa mwanaaaa unajua kuimba kumbe ni kimeo tu haujui kuimba.

Acha hasira za kufukuzwa studio.
Walikua wanaishia getini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…