Kajala ni pandikizi anayeitafuna Konde Gang

Mwacheni alifumue tuu cha msingi aende kwa akili manake wadangaji si watu wazuri wanaweza kukakusha accounts zote,kama akiwaendekeza manake wana tamaa kila kinacho trends wana kitaka plus mwanae nae anayetaka mambo makubwa kupitia baba wake wa kufikia.
 
Kumbe yule jamaa bado anazota jella
 
Cheedy na killy wamesep[emoji848]

Dogo ni mshamba wa mapenzi binafsi siwezi kuwa na mwanamke ambae najua Yuko na mm kwa ajili ya status yangu..diamond angekuwa na ushamba wa mapenzi asingekuwa alipo Sasa..
Alfu watasema Domo mchawi kumbe mwana ameshasoma ramani kuwa mwanmke atamrudisha nyuma acha awalale tu na kuwaleaa basi
 
Acheni wivu wazee, kama mnamuona Kajala anafaidi na nyinyi vaeni sidiria. Au kama vipi tuendelee kubeba zege tu
 
Cheedy na killy wamesep🤔

Dogo ni mshamba wa mapenzi binafsi siwezi kuwa na mwanamke ambae najua Yuko na mm kwa ajili ya status yangu..diamond angekuwa na ushamba wa mapenzi asingekuwa alipo Sasa..
Siku ukiwa na hiyo status jaribu kurudia maneno yako.
 
Kiongozi wa mabaunsa yupo mkuu
 
Siku ukiwa na hiyo status jaribu kurudia maneno yako.
Mi ni masikini ila Nina pc Kali nyingi sana najiuliza inakuaje ila jibu huwezi nyimwa vyote, sijawahi kuwa mshamba kiasi hicho,, unakuta Nina washkaji Wana mkwanja afu wanakula pisi mbovu wanapost Mara mtu kapelekwa mbuga za wanyama nabaki nashangaa nasema imagine Sina pesa ila hio manzi ya jamaa nikikosea ikawa yangu Basi one hit sirudii Sasa nashangaa wengne wanapeleka hifadhini😁 yani pisi anayopeleka hifadhi nikimpa yangu ataenda nae Mars,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…