Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahhahah Amina, na iwe hivyo.Bahati mbaya yesu
Bahati mbaya yesu hatarudi hivyo konde atakuwa mshamba milele.
Mume wake kajala mpaka Leo yupo jela na waliiba wote pesa na kajala hana time nae kuna mwingine anaitwa clement alikuwa danga wa Wema na kajala alikuwa na mawe ya maana zaidi ambacho anacho harmonize sasa hivi kageuka muuza chips pale kinondoni.Sisi tunatoa Maoni kwa nia nzuri maana wakianza kufulia wasianze kutafuta msaada wa ummaTafuta pesa ili ujue Kati ya wewe na Hamo nani boya🙄🙄🙄
Pilipili iko shamba wewe unawashwa mjini. Maajabu haya🤣🤣🤣🤣
Unaumia Hamo akitumia pesa zake hadi unatia huruma
nyongeza : maisha ya kukaliliChuki
Husuda
Umafia
Umalaya
Uchawi
Mbinu mbinu
Ubinafsi
Ongezea
Lile baba halijielewi linajua kutafuta ela tu vingine vyote mjini limechelewa.Sasa kajala nae ni piskali!!! Inachekesha alikua piskal zaman saiv ni pasco tu.. bibi kama yule unatumia garama za kazi gn?
Mademu aina ya kajala ni wazuri wakiwa na nguo tu akivua akabaki uchi utamkataa
Clement alikuwa na mpunga wa maana Sana kahonga Sana hawa macelebrities alidate na Wema, kajala, uwoya leo hii tunazungumzia anauza chips pale kinondoniLile baba halijielewi linajua kutafuta ela tu vingine vyote mjini limechelewa.
Maamake hiyo ndo dawa ya Mafala kama hao. Afu wenzie wanaendelea tu kugawa utam kwa bei juuClement alikuwa na mpunga wa maana Sana kahonga Sana hawa macelebrities alidate na Wema, kajala, uwoya leo hii tunazungumzia anauza chips pale kinondoni
Faraji alishatoka jelaMume wake kajala mpaka Leo yupo jela na waliiba wote pesa na kajala hana time nae kuna mwingine anaitwa clement alikuwa danga wa Wema na kajala alikuwa na mawe ya maana zaidi ambacho anacho harmonize sasa hivi kageuka muuza chips pale kinondoni.Sisi tunatoa Maoni kwa nia nzuri maana wakianza kufulia wasianze kutafuta msaada wa umma
Wamependana mzee [emoji1]Mtu pekee ambaye harmonies angeweza kuwa naye ni Sarah tu,wanawake wakitanzania niwachumia tumbo ,ila conde boy kwa kajala big nooo ,amekosea Sana .....angebaki tu kwa sarah
Hivi jamani kuna mwanamke ambaye hapendi pesa?hapendi maisha mazuri?
Sema tu wengine hizo bahati hawana.
Maana yake wanakosa ubunifunyongeza : maisha ya kukalili
Huyo muoga wa kutoswa na pisi kali ndio maana anakula vibovuJamaa kanichekesha sana eti ukiwa busy unakula pic mbovu hii ni akili ya wapi aisee kwa akili ya huyo jamaa tutafika tukiwa tumechoka sana
Tupe unyunyu kidgo? Alimuuzaje? Kwani alifungwa Miaka mingapi? Najua tu kajala alitolewa ml 13 na wema asifungwe jelaFaraji alishatoka jela
Yupo tabata mzee
Sema hyu kajala alimuuza
Ngoja tuishie hapa
Ova
My thoughts exactly, angeweza sana angekuwa peke yake.Harmonize alikosea kuwa na lebo, alitakiwa awe peke yake
Pale mwenye raha na hiyo amani ni mchunaji winniefrida kajalaMaisha ni sasa maisha ni leo
Mikubwa wana raha na amani kwa sasa. Kesha ni majaliwa
Naskia ana k tamu mno afu ndogo design ya uwoya ..afu ni msafi balaaDaah watu wana roho ngumu, yaani jitu sugu kama Kajala unaling'ang'ania!