Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii couple mmoja(mlugaluga) kalewa na kapofuka kisa mapenzi. Mwingine yuko pale strategically, anajua alichofuata na dalili zinaonyesha ya kwamba slowly but surely anaiingia inner circle ya utawala na finances. Anapunguza 'viwingu' mmoja baada ya mwingine, wanaojua mambo ya kuunganisha dots wanajua fainali itakuwaje.Jamaa anapiga single maza ambaye ni mjanja wa mjini anyway Noma sana. Demu anaweza kukufanya uwe maskini au tajiri vilevile lkn
Huyo mwingine ni chombo cha sterehe tu,na wanaume wote aliyokuwa nao,wameishia kufeli tuHii couple mmoja(mlugaluga) kalewa na kapofuka kisa mapenzi. Mwingine yuko pale strategically, anajua alichofuata na dalili zinaonyesha ya kwamba slowly but surely anaiingia inner circle ya utawala na finances. Anapunguza 'viwingu' mmoja baada ya mwingine, wanaojua mambo ya kuunganisha dots wanajua fainali itakuwaje.
Keyword, PATTERN.
Huyo mlugaluga hawezi kuishi na gumegume hilo mguu pande mguu sawa, kaingia kichwakichwa anasubiri kupewa za uso atolewe knockout.Huyo mwingine ni chombo cha sterehe tu,na wanaume wote aliyokuwa nao,wameishia kufeli tu
Hapo labda huyo mwingine aishi naye
Mguu pande mguu sawa
Ova
Ah kabisaHuyo mlugaluga hawezi kuishi na gumegume hilo mguu pande mguu sawa, kaingia kichwakichwa anasubiri kupewa za uso atolewe knockout.
Sasa angemshindaje Diamond na wewe?Harmonize alikosea kuwa na lebo, alitakiwa awe peke yake
Ila leo ndiyo mipango ya kesho bora hupangwa. Unaweza kusema huijui kesho yako, ila hiyo kesho ikafika na ukatamani ingekukuta umeshakufa.Maisha ni sasa maisha ni leo
Mikubwa wana raha na amani kwa sasa. Kesha ni majaliwa
Ingekuta mm Ni hormonize singetoa na Hana Cha kunifanya Bado hatujafika level ya kulipan mabilioinMaisha ya mziki yananishangaza sana.
Unaambiwa Hamo kasaidiwa kutoa hela pale wcb ili atoke na analipa kidogo kidogo ili kurudisha hela ya watu,ni mil 600 ilitolewa
Alipotoka tu hata hajarudisha hela yote kaanza kukusanya watu kutengeneza label,kamtafuta Kajala,yale mav8 sijui nayo ya kupewa sasa huwa najiuliza haya maisha yote mara wapo sjui mbugan huko wanakula bata hizi hela zitarudi vipi
Ila kuna watu wana hela mpaka wameshindwa wazifanyie nini,600 mil unamtolea msanii wakat mziki wenyew ni bahat nasibu unaweza kubuma saa yoyote
Labda uache mzikiIngekuta mm Ni hormonize singetoa na Hana Cha kunifanya Bado hatujafika level ya kulipan mabilioin
Mjerumani alikua anamwakilisha jembe ni jembe show nying za nje,mkataba wa jembe ni jembe kwa harmonize ulikwisha baada ya harmonize kumaliza deni lake(harmonize alikopa hela yakuwalipa wasafi),sio kwamba alifukuzwa acha kuongea uzushiManeno ya Baba Levo akihojiwa huwa anaongea vitu fulani hivi ukivichunguza utajua nini kinaendelea Konde Village.
Mara nyingi Baba levo akiulizwa mahusiano ya Kajala na Harmonize amekuwa akijibu kuwa Kajala kwenye hayo mahusiano ana malengo yake, yakitimia basi anasepa zake, kichaka ni kuwa anavuna hela. But nyuma ya pazia kuna vingi zaid ya hvyo. Kwa sasa Kajala ndiyo mtu anayesikilizwa zaidi na big boss kuliko mtu yeyote.
Ujio wa kajala Konde Gang umewang'oa miamba wafuatao ambao kwa namna moja ama nyingine ndiyo zilikuwa moja ya ngome kuu za Konde Gang.
1. Mwijaku
2. Mjeruman (experienced manager)
3. Hbaba
4. Killy
5. Cheed
Za chini ya carpet ni kuwa Ibrah naye anatafuta chaka, sema anachorea ramani namna nzuri ya kuifuma exit door.
Kiongozi wa mabaunsa naye kajikata mdogo mdogo yeye kaweka waz kabisa kuwa sababu ni mtonyo hamna ...
Anyway kondegang 4 everybody
Sawa mkuuMjerumani alikua anamwakilisha jembe ni jembe show nying za nje,mkataba wa jembe ni jembe kwa harmonize ulikwisha baada ya harmonize kumaliza deni lake(harmonize alikopa hela yakuwalipa wasafi),sio kwamba alifukuzwa acha kuongea uzushi
naikubali sana hii ngoma.Nitaubeba🎶🎶🎶🎵🎶
Kwani alilazimishwa kutoa? Bila hivyo acc zake za Youtube na other social networks zingezuiwa,, unaleta ujuaji ndani ya mkataba..?? Unajua rich Mavoko hadi Leo YouTube akaunti yenye Jina lake inamilikiwa na wasafi..Ingekuta mm Ni hormonize singetoa na Hana Cha kunifanya Bado hatujafika level ya kulipan mabilioin
Kwani alilazimishwa kutoa? Bila hivyo acc zake za Youtube na other social networks zingezuiwa,, unaleta ujuaji ndani ya mkataba..?? Unajua rich Mavoko hadi Leo YouTube akaunti yenye Jina lake inamilikiwa na wasafi..Ingekuta mm Ni hormonize singetoa na Hana Cha kunifanya Bado hatujafika level ya kulipan mabilioin
Jembe ni Jembe yupo Konde mpaka kesho anakula percent zake.Mjerumani alikua anamwakilisha jembe ni jembe show nying za nje,mkataba wa jembe ni jembe kwa harmonize ulikwisha baada ya harmonize kumaliza deni lake(harmonize alikopa hela yakuwalipa wasafi),sio kwamba alifukuzwa acha kuongea uzushi
Kila mwanaume akiwa na kajala