Kajala ni pandikizi anayeitafuna Konde Gang

Kajala ni pandikizi anayeitafuna Konde Gang

Tafuta pesa ili ujue Kati ya wewe na Hamo nani boya[emoji849][emoji849][emoji849]
Pilipili iko shamba wewe unawashwa mjini. Maajabu haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaumia Hamo akitumia pesa zake hadi unatia huruma
Social media life ....yameonyesha kwa jinsi gani wanawake wana upeo mdogo kwenye kufikiria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kajala nae ni piskali!!! Inachekesha alikua piskal zaman saiv ni pasco tu.. bibi kama yule unatumia garama za kazi gn?

Mademu aina ya kajala ni wazuri wakiwa na nguo tu akivua akabaki uchi utamkataa
Ahahahaha anakua na mabonde mabonde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio kula piss Kali ni kutokuwa na kazi za kufanya, kula mbovu ndo unaonekana uko busy na life😁 bado sijajua umewaza kutumia nini anyway tafuta hela ukiendelea hivi utakuf mapema sana usiumie ndo maisha
Nadhani hujanielewa au utoto wako unakusumbua,nimesema huwezi kuwa maskini na ukawa unakula pisi Kali bila kutumia mda kufuatilia hizo pisi,kama alivyosema mdau hapo juu lazima ujipodoe Tena ikibidi uwe chawa wa washua,lakini ukiwa busy na mtafuta pesa utazila ila Kwa kutumia pesa na hutopoteza mda kama wewe.
 
We hujielewi ,umasikini ni mbaya hata akili nayo unakosa😁 tafuta pesa mrembo
 
Jamaa anatakiwa apandikize kijusi, hata mambo yakiwa ndivyo sivyo, ajivunie mtoto aliyepatikana ili kuja kupunguza machungu
 
Tupe unyunyu kidgo? Alimuuzaje? Kwani alifungwa Miaka mingapi? Najua tu kajala alitolewa ml 13 na wema asifungwe jela
Alipigwa 15 alikaa miaka 8 ndani
Alipiga hela benki,jamaa alikuwa
Mwajiriwa wa bank moja hivi

Ova
 
Tupe unyunyu kidgo? Alimuuzaje? Kwani alifungwa Miaka mingapi? Najua tu kajala alitolewa ml 13 na wema asifungwe jela
Wema alimtolea hela,na hela hiyo wema alipewa na danga lake moja
Alikuwa bandari...

Ova
 
Back
Top Bottom