Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Eti una mpenzi ambae ukiwa nae unakua na AMANI SANA? Kama hujawahi pemda huwezi muelewa, Yani Kuna ile unakua na mpenzi ambae Yani hata kama una Nuka jasho, huja piga mswaki, Yani unakua na AMANI SANA na una ona kawaida acheni tu kataa ndoa, na mashoga mtupishe kidogo,
Kwa nini unarudiana na harmonize? Kajala aliulizwa kwenye kipindi cha A list, kinacho simamiwa na aunt, uwoya, kajala, wolper.
Kajala alijibu, " ninatongozwa sana na wanaume wengi tena wenye pesa, ila nikiwa na harmonize nakua na AMANI SANA"