Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

To yeye
Kausha huyu mjinga anapenda support
Acha tumvimbishe kichwa aone watu wanamsupport na ujinga wake
Hapo utakuta ameoa na watoto watatu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Hivi hatuwezi kucoment bila pessimism comment
Kuitana wajinga, mafala na maneno kama hayo.

HUWA INA TARGET NINI?

#YNWA
 
Back
Top Bottom