Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Wao mvuto wanao? Kila ntu na ntu wake, mbonaa hao walio na mvuto hawajawao wameishia kuwazalisha??Hawatutaki sisi tusio na mvuto..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao mvuto wanao? Kila ntu na ntu wake, mbonaa hao walio na mvuto hawajawao wameishia kuwazalisha??Hawatutaki sisi tusio na mvuto..
Ndoa ya hivo huyo John atakufa mapema sana atafute mchepuko wa kumpa furahaHabarini Wana JF..
Ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A YANGA BINGWA.
Sasa story iko hivi..
Juzi nilisafiri kwenda Mbeya (hata navyoandika huu Uzi nipo Tunduma@Songwe) kufatilia bidhaa fulani hivi.
Safari yangu ilianzia Morogoro.
Nilivyopanda basi la NEW FORCE ndani ya basi nikakutana na baba mdogo.
Huyu jamaa mi sinaga story nae kabisaa, mara ya mwisho tulipigaga story 2016 tulipokutana msibani Kijiji kwetu huko.
Hata namba yake sina na nilisikiaga tu story za walimwengu kuwa anaishi Morogoro.
Sasa bana tulipofika Mafinga abiria jirani angu alishuka na baba mdogo akahamia kwangu na kuanza maswali yake yakiwaki na story za maisha.
Maswali sijui, "Nasikia mpaka leo hujaoa", "Una Kazi serikalini lakini hutaki kuoa" na mengine kama hayo.
Aliendelea kunihoji mpaka Kuna muda nikasikia "Ila kweli kwa vijana wa sasa ninaposikia hujaoa huwa sikulaumu"..!!
Nikabaki namshangaa ""Kwanini?""
Mara akafunguka anayopitia mwanae wa kiume.
Mwanae wa kiume (tumuite John) ni "age mate" wangu (32 Yrs).
Wakati mama yangu yupo hai nilishawahi kuishi nae na kusoma Shule moja.
Baada ya mama kufariki aliondokaga na mawasiliano yakaishia hapo.
Mimi na John mawasiliano yalirudi 2017 ila yalikuja kutoweka tena 2018 baada ya kuoa.
Maana baada ya kuoa alianza uduwanzi wa kuniita "Dogo utaoa lini?" "Dogo huna mke, majukumu upate wapi"
Nikaona huyu sasa ni WA kumpotezea.
Sasa bana jana baba ake John tukiwa safari anasema NDOA YA JOHN INAENDA KUVUNJIKA sababu ya MDOMO WA MKEWE.
Baba mdogo anasema "Mke wa John anamdomo Sana Tena usio na staha"
Yaani John anaweza kukosea Chumbani mkewe akamezea halafu akaja "kumchamba" John hadharani.
Mdomo wa mke wa John haujui hapa wapi, Kuna kina nani, wapi natakiwa kumpayukia mume wangu na wapi natakiwa kuwa na staha, yeye ni KUMPAYUKIA TU JOHN.
Kwa Maelezo ya baba mdogo, mke wa John kufoka na kupayuka ni staili yake ya kuongea na mumewe.
Tena John alihojiwa akasema "Mbona wengine hawafokei ila ni Mimi tu mumewe?""
John alivyoona mdomo wa mkewe umezidi na maongezi na maonyo ya mdomo hayabadilishi tabia ya mkewe basi John alianza kutumia force/kipigo.
Leo anampiga mkewe, mara mkewe anakimbilia kwao, halafu akifika kwao ni full kutetewa, kwahiyo John huonekana mkosefu kila wakati.
Baba mdogo anasema kwa jinsi alivyomsoma mkwewe ni "Mwanamke anayependa/taka ku-control mwanaume" na John kagoma kuwa controlled.
Sasa hapo ndio vita inaanza.
Baba anasema John, kaongea weee, kampiga sanaa mikanda mkewe ila HABADILIKI na SASA SHAURI LIPO MAHAKAMANI huko Dar NDOA INATAKA KUVUNJWA.
Mdomo tu umemshinda..!!!
Turudi kwenu:-
Nikiwaambia "MSIOE" Utasikia "Wanaume wenye akili ndio waoe" Sasa cha kujiuliza huyo anayetakiwa kuolewa kwani akili nae sio kigezo chake?
Nyie mabaharia Ma-feminism watawaua.
Yaani unasutwa na mkeo halafu unatoa kipigo, mke anakimbilia kwao na kwao wanakurudi wewe na vichambo..!!!
Baba mdogo anasema John kanusurika mara 3 kulala lock up sababu ya kumpiga mkewe na kidomo chake.
Na mara mbili yeye baba ndio alibembeleza John asilazwe lockup na mkwewe.
Bila yeye baba kuingilia kati John ilikuwa aue huyo mkewe maana ni full kusemwa na maneno.
Mdomo tu UNAACHANISHA NDOA.
ANYWAY:-
Tuendelee kutafuta hela, If you think money can't buy happiness then go and ask the Homeless and Jobless.
Wale wa Songwe tuonane Mpemba ile "underground club" kama unaelekea Mbeya ipo upande wa kulia tule vyomboooo.
Kuoa waachieni Wazee wenu ndio walioa, nyie mnasogeza matatizo na stress tu za maisha.
USIOE
USIOE
USIOE
#YNWA
Babu yangu kipindi cha uhai wake alinambia kabariki ndoa baada ya kuishi na bibi kwa mda mrefu kwa ndoa ya kimila, baba yangu pia hivyo hivyo tena wakati wanabariki hii nilishuhudia kabisa. Nilichojifunza wazee hawakukurupuka pia mpaka walipojiridhisha kuwa uyu ni wangu wa maisha though zama zile si sawa na sasa.Wanakeraaa balaaaa
#YNWA
Wapo sana mr tuliza akili na mihemko utawapataHivi hao wenye akili WAKO WAPI?
#YNWA
Ila ilionekana kuutesa moyo wako;ulishaanza kudondokaI HITTED and RUNNED..!!!
#YNWA
Ngoja Tusubiri maprofesa wa grammar waje..!!!
Ujumbe niliupata hapo kuwa ataoa tu mpka pale atakapopata sahihi.
Akiisoma hii comment atapata chakujifunzawapo sana mr tuliza akili na mihemko utawapata
Ujumbe niliupata hapo kuwa ataoa tu mpka pale atakapopata sahihi.
So wewe Liverpool niamini utaoa tu haki tena.
Ndoa ya Liverpool na chakorii..😄😄wapi makofi yakeeeeee
Hiyo ya ahera ni yako😆😆😆Uko na kichwa mbaya sana😀Na utabirii huu lazima utimie hata iwe akhera.
In Jesus name, and the heaven say amen.
#YNWA
Wakifika miaka 50 na kuendelea wataelewa pale unapohitaji familia ya kuwa karibu na wewe haipo unaishi maisha ya kipweke mpaka kaburini
Wao wanadhani ndoa ni ngono ngono tu umuhimu wa ndoa utauona baada ya ujana kuisha pale ukifika 50 ndipo utahitaji mtu wa kuwa karibu yako
Liverpool VPN umebakiwa na 18 kufika 50 tafadhali fanya maamuz mapema
Yaani unataka watu tusioe tupate papuchi kwa mgao?
Serious? Acha wafu tuendelee kula na kumiliki papuchi za wake zetu kadiri tuwezavyo ninyi wenye akili kisoda endeleeni na nyeto au papuchi za mgao.
Hiyo ya ahera ni yako😆😆😆Uko na kichwa mbaya sana😀
Nasikia kuna ndoa yako na yeye,nikazie siyo?Akiisoma hii comment atapata chakujifunza
One in a millionNa wale waliokimbiwa na wenza wao kipindi cha shida zao??
Marehe baba mdogo angu akiwa amelazwa Muhimbili akisumbiliwa na bonge la jipu la tambazi alikimbiwa na mkewe.
Sisi watoto wake ndio tuliohangaika nae mpaka umauti wake.
#YNWA
Usishupaze shingo kiasi hicho tafadhaliBabu kafa tokea 2012 na mpaka leo bibi yangu yupo.
Wanaompa kampani mi watoto na sio NDOA.
Na wapo watu walikimbiwa na familia zao kipindi cha kuwahitaji sanaa.
Hao nao unasemaje?
#YNWA
Kama ww huoi ni sawa lkn usishawish wengine wafanye utakavyo..ipo siku utatoa hesabu ya ushauri wako.Habarini Wana JF..