Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

Basi nimekufananisha na mwalimu mmoja hivi mnyakyusa alihamia kutokea Mkoa wa Songwe na jina lake linaanzia na herufi G la ukoo M.

Anyway ngoja nimpage DEO wako tuje kukukagua..!! ๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰

#YNWA
๐ŸคฃNjooni,DEO mwenyewe msela yule๐Ÿคธ
 
Basi nimekufananisha na mwalimu mmoja hivi mnyakyusa alihamia kutokea Mkoa wa Songwe na jina lake linaanzia na herufi G la ukoo M.

Anyway ngoja nimpange DEO wako tuje kukukagua..!! ๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰

#YNWA
Mi ni M na ukoo M
 
Beesmom
Chakorii
Championship
Prakatatumba abaabaabaa
computerarsenal
Southern Highland
Da'Vinci
mbarika

Someni hiyo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Brother mm kwa upande wangu iko hivi miaka minne ilopita nilmpata mwanamke ambaye nlihisi atakua wa maisha,akapambana akashika mimba pale ndo nkaona rangi yake halisi anaweza akanigombeza mbele ya mama yangu mzazi,siku moja nkamuambia siku nikiuchoka huu mdomo ntaondoka,,akadhani natania,siku moja nkawaita ndugu zake na ndugu zangu baadhi nkawaambia mm sitoweza kuishi na huyu kwa sasa so either nmuache humu ndani au aondoke akatafute nyumba ya kupanga,akasema niondoke mimi,niliondoka na beg langu la nguo kama utani yaani,,hadi amebaki single maza na hadi kwao wanamuambia huo mdomo wako umekuponza,,,

Hitimisho:mimi ntaoa na akizingua ntajua hakua w kwangu atasepa ntaoa mwingine,ndoa n furaha aisee hujui tuu.
 
๐ŸคฃNjooni,DEO mwenyewe msela yule๐Ÿคธ

Kuna halmashauri moja Songwe DEO - Msingi ni mmama.
Asiyee yule mnyakyusa ana mdomo balaaa.

Yaani siku niliyokutana nae nikajiuliza "sasa hiyo Halmashauri yake walimu wanaishije nae?""

Mnyakyusa ana mdomo yuleee

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃAtakuwa mkyela huyo....siye wa tukuyu tunao ila wametuzidi
 
Mbona nawe una mapungufu,Kwa mfano dushe kutokusimama vyema,kutokuhudumia umpendae,hasira za haraka na kuchukulia poa mahusiano Yako unapoyaanzisha๐Ÿคฆ

Haya yotee sio yangu.

Mi nipe nafasi ya wiki moja tu, utakula show Bora na utahudumiwa vizurii kabisaaa.
๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰

#YNWA
 
Karibu nikusemee unachowafanya wanawake then tukupe kichapo heavy๐Ÿ˜

๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ

#YNWA
 
Kwahiyo kwasababu kaka yako kaoa Mwanamke mwenye mdomo ndioo wengine wasioe??? Kwani wanawake wote wanamdomo???..... Wewe kama unaona kuoa hakuna mantiki baki na msimami wako, mbona unachukua mifano ya wanaoshindwa huleti ya wanaofanikiwa kwenye hizo ndoa???
 
Na Kwa mtazamo wake huu Bora asioe kabisa,maana mwanamke atakaeoa atanyanyasika sana๐Ÿ˜”
 
Kwahiyo kwasababu kaka yako kaoa Mwanamke mwenye mdomo ndioo wengine wasioe??? Kwani wanawake wote wanamdomo???..... Wewe kama unaona kuoa hakuna mantiki baki na msimami wako, mbona unachukua mifano ya wanaoshindwa huleti ya wanaofanikiwa kwenye hizo ndoa???

Soma hiyo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Brother mm kwa upande wangu iko hivi miaka minne ilopita nilmpata mwanamke ambaye nlihisi atakua wa maisha,akapambana akashika mimba pale ndo nkaona rangi yake halisi anaweza akanigombeza mbele ya mama yangu mzazi,siku moja nkamuambia siku nikiuchoka huu mdomo ntaondoka,,akadhani natania,siku moja nkawaita ndugu zake na ndugu zangu baadhi nkawaambia mm sitoweza kuishi na huyu kwa sasa so either nmuache humu ndani au aondoke akatafute nyumba ya kupanga,akasema niondoke mimi,niliondoka na beg langu la nguo kama utani yaani,,hadi amebaki single maza na hadi kwao wanamuambia huo mdomo wako umekuponza,,,

Hitimisho:mimi ntaoa na akizingua ntajua hakua w kwangu atasepa ntaoa mwingine,ndoa n furaha aisee hujui tuu.
 
Mi ni M na ukoo M

๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
Aaah M na M
nimekumbuka siku ile nilivyo lala stend kuu Mbeya Jiji.
Nilifanya Kosa la kiufundi sanaaa mjini PM..
๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰

#YNWA
 
Back
Top Bottom