Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

Eti "dogo utaoa lini" yani kuna watu zile shangwe na vigeregere zikiwa bado hazijaisha vichwani uwa wanakuwa na viburi kama wamemaliza kila kitu wanasahau ndoa si sherehe wala harusi.
 
Kwa imani yangu inasema mwanamme atamuacha mwanamke kwa dhambi ya usaliti tu, mimi mdomo hauwezi kunifanya nimuache mwanamke, masimango, kiburi n.k LAKINI hakifanya uasherati hakuna mjadala wala kuhoji
Uncle haujakutana na mdomo wewe,tema mate chini brother
 
Brother mm kwa upande wangu iko hivi miaka minne ilopita nilmpata mwanamke ambaye nlihisi atakua wa maisha,akapambana akashika mimba pale ndo nkaona rangi yake halisi anaweza akanigombeza mbele ya mama yangu mzazi,siku moja nkamuambia siku nikiuchoka huu mdomo ntaondoka,,akadhani natania,siku moja nkawaita ndugu zake na ndugu zangu baadhi nkawaambia mm sitoweza kuishi na huyu kwa sasa so either nmuache humu ndani au aondoke akatafute nyumba ya kupanga,akasema niondoke mimi,niliondoka na beg langu la nguo kama utani yaani,,hadi amebaki single maza na hadi kwao wanamuambia huo mdomo wako umekuponza,,,


Hitimisho:mimi ntaoa na akizingua ntajua hakua w kwangu atasepa ntaoa mwingine,ndoa n furaha aisee hujui tuu.
 
Hapo umechemka,naishi Jiji ila nafundisha inyala😜

Basi nimekufananisha na mwalimu mmoja hivi mnyakyusa alihamia kutokea Mkoa wa Songwe na jina lake linaanzia na herufi G la ukoo M.

Anyway ngoja nimpange DEO wako tuje kukukagua..!! 😉😉😉😉

#YNWA
 
Back
Top Bottom