Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,433
Reaction score
2,791
Sitaandika sana,

Huwezi amini maneno haya yalitoka kwenye kinywa cha mwanadamu, tena mbele ya camera!

Leo hii nimemwona jamaa huyo huyo analia mbele ya camera baada ya mwili wa mpendwa kuwasili. Najua somo amelipata siku nyingine atajifunza cha kuongea.

Dunia mapito jama.
 
Hana intelligence ya kujifunza kutokana na matukio kama hayo.
 
Dunia mapito jama...
Tuombeeni walokufa waende salamaa...
 
Daah JPM alifanikiwa kukoroga sumu kali sana ya ubaguzi!
Si ndani ya chama chake wale nje!
Ngoja tuinywe!
Shida sio JPM,yeye alishatangulia mbele za haki. Yote yanayoendelea kwa sasa hajui chochote.
Ni busara zaidi kwa tulio hai tungejenga umoja na kuondoa hizo dosari. Ila cha ajabu tulio hai ndio tunaendeleza yale tunayoona JPM alikosea
 
Jisemee wewe watanzania walio wengi hatu kubaliani na maneno yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…