Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

Ila mwenye makosa makubwa kabisa ni Rais Dkt Samia. Yaani yeye nafikiri alidhani Dkt Magufuli alichukiwa na kuja kwake yeye Dkt Samia alihisi kama mkombozi. Hivyo aliruhusu kila aina ya kebehi na dhihaka kwa Dkt Magufuli akidhani anakidhi kiu ya watanzania ya kutoa ya moyoni. Kitu ambacho hajakijua mpaka leo ni kuwa kiongozi awaye yeyote awe yupo madarakani au kastaafu inapaswa iwe marufuku kumsema ovyo pahala popote. Sasa Rais Dkt Samia akaachia, tulionya mara nyingi sana, tulishauri na kumlilia sana kuwa piga marufuku Dkt Magufuli asidhihakiwe, ila matokeo yake mpaka kikafadhiliwa kitabu cha kumsema vibaya Dkt Magufuli. Sasa hii taharuki hata ikitokea kweli hawa wazee wazuri/wema akitangulia mbele za haki hakika watanzania watashangilia tena, na kibaya kabisa upande wa Dkt Magufuli hakuna mtu maarufu tena wa kusema akifa watu wafurahie hayupo! Ila upande wa watu wa Dkt Kikwete wapo wengi hasa waliotoa kauli zenye dhihaka. Mimi binafsi namhurumia sana Dkt Kikwete, yaani ukarimu wake, upole wake na hekima zake zimemtia hatiani kwa sababu ya ukaribu na watu wasiokuwa na adabu za kutunza mambo moyoni. Chukulia mfano tu Mh. Membe alikuwa na haja gani kuanza kugombana na Dkt Magufuli??? Mbona Dkt Kikwete watu wake wengi waliminywa na alikuwa kimya. Anyway Mungu anajua ya kesho
Kwa mfano membe anadai magufuli hakuwaheshimu watangulizi wake. Je ni kweli? Magufuli aliwapa heshima kubwa na kuwajali mzee mwinyi, mkapa na kikwete. Mzee Mwinyi akieleza kila alivyopata fursa jinsi Magufuli alivyowazidi marais waliyotangulia kwa utendaji na kwamba mwenyewe anamuhusudu. Wote marais mkapa na kikwete wakikubaliana kwamba wameleta mrithi mtendaji mzuri sana. Sasa huyu membe nape makamba mtoto na baba na mzee wetu kinana haya maneno kwamba magufuli alidharau marais wastaafu na kuona hawakufanya kitu walitoa wapi? Kikwetu anayedhaniwa karibu na hili genge hakuwahi hata siku moja kutoa kauli kama hiyo zaidi ya kuona utendaji wa bulldozer mwenyewe aliyochangia kuwaletea watanzania.
Hawa waganga njaa walaku wabinafsi tuwe macho sana nao.
 
Kwani kikwete ni mungu? Acheni ujinga bhana mlitaka mungu afanyeje yule si alikuwa kiumbe wake? Kumchukua imekuwa nongwa? Wamekufa mitume itakuwa jitu chizi?
Tena maarifa![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndo yule yule aliyetembea kwa magoti kwenda kusaka msamaha? watu hawana aibu aisee.....mara atembee kwenye makalio ya kina mama.
 
Daah JPM alifanikiwa kukoroga sumu kali sana ya ubaguzi!
Si ndani ya chama chake wale nje!
Ngoja tuinywe!
Watu walibanwa kuhujumu nchi hata ccm walizoea kuwa mambo yangeendelea hivyo hivyo kama kawaida .kama hiyo ndo sumu bora tu tupate mwingine wa kuikoroga tu
 
Ila mwenye makosa makubwa kabisa ni Rais Dkt Samia. Yaani yeye nafikiri alidhani Dkt Magufuli alichukiwa na kuja kwake yeye Dkt Samia alihisi kama mkombozi. Hivyo aliruhusu kila aina ya kebehi na dhihaka kwa Dkt Magufuli akidhani anakidhi kiu ya watanzania ya kutoa ya moyoni. Kitu ambacho hajakijua mpaka leo ni kuwa kiongozi awaye yeyote awe yupo madarakani au kastaafu inapaswa iwe marufuku kumsema ovyo pahala popote. Sasa Rais Dkt Samia akaachia, tulionya mara nyingi sana, tulishauri na kumlilia sana kuwa piga marufuku Dkt Magufuli asidhihakiwe, ila matokeo yake mpaka kikafadhiliwa kitabu cha kumsema vibaya Dkt Magufuli. Sasa hii taharuki hata ikitokea kweli hawa wazee wazuri/wema akitangulia mbele za haki hakika watanzania watashangilia tena, na kibaya kabisa upande wa Dkt Magufuli hakuna mtu maarufu tena wa kusema akifa watu wafurahie hayupo! Ila upande wa watu wa Dkt Kikwete wapo wengi hasa waliotoa kauli zenye dhihaka. Mimi binafsi namhurumia sana Dkt Kikwete, yaani ukarimu wake, upole wake na hekima zake zimemtia hatiani kwa sababu ya ukaribu na watu wasiokuwa na adabu za kutunza mambo moyoni. Chukulia mfano tu Mh. Membe alikuwa na haja gani kuanza kugombana na Dkt Magufuli??? Mbona Dkt Kikwete watu wake wengi waliminywa na alikuwa kimya. Anyway Mungu anajua ya kesho
Thank you for nice comment . Ila usichokijua kuna kitu kinaniambia kabisa membe pia alikuwa mshauri wa SAA100 ndo maana akinanape January wakapewa uwaziri haraka harak na kujiiamin kunedelea kumsumanga Marehem
 
Nakubaliana na wewe kupinga migawanyiko ktk taifa kwa chuki za misiba ya viongozi lakini sikubaliani kabisa na hoja yako kusema eti unamlaumu Rais Dk. Samia, "kuruhusu...! Ni wapi na lini Mhe. Rais aliruhusu ulichoandika? Tukemee hili lakini tusimhusishe Mhe. Rais ktk mambo yasiyojenga taifa. #SISI NI TAIFA. [emoji120][emoji120][emoji120]
Inaonyesha huwa hufuatilia hata hotoba za huyu mama ndo mana unasema hivyo .ukweli ni kuww saa100 alikuwa upadne wa hawa akina member na ndo. Walikuwa washauri wake na kikwete akiwepo
 
Siasa za Bongo zinaingia ukurasa mpya
Ni siasa za CCM hizo, hakika. Taratibu hicho chama kinazidi kuwa chama cha wanga, wachawi na misukule. Wabongo wanajikuta mateka tu wa hilo jinamizi. Inasikitisha sana.
 
Ila mwenye makosa makubwa kabisa ni Rais Dkt Samia. Yaani yeye nafikiri alidhani Dkt Magufuli alichukiwa na kuja kwake yeye Dkt Samia alihisi kama mkombozi. Hivyo aliruhusu kila aina ya kebehi na dhihaka kwa Dkt Magufuli akidhani anakidhi kiu ya watanzania ya kutoa ya moyoni. Kitu ambacho hajakijua mpaka leo ni kuwa kiongozi awaye yeyote awe yupo madarakani au kastaafu inapaswa iwe marufuku kumsema ovyo pahala popote. Sasa Rais Dkt Samia akaachia, tulionya mara nyingi sana, tulishauri na kumlilia sana kuwa piga marufuku Dkt Magufuli asidhihakiwe, ila matokeo yake mpaka kikafadhiliwa kitabu cha kumsema vibaya Dkt Magufuli. Sasa hii taharuki hata ikitokea kweli hawa wazee wazuri/wema akitangulia mbele za haki hakika watanzania watashangilia tena, na kibaya kabisa upande wa Dkt Magufuli hakuna mtu maarufu tena wa kusema akifa watu wafurahie hayupo! Ila upande wa watu wa Dkt Kikwete wapo wengi hasa waliotoa kauli zenye dhihaka. Mimi binafsi namhurumia sana Dkt Kikwete, yaani ukarimu wake, upole wake na hekima zake zimemtia hatiani kwa sababu ya ukaribu na watu wasiokuwa na adabu za kutunza mambo moyoni. Chukulia mfano tu Mh. Membe alikuwa na haja gani kuanza kugombana na Dkt Magufuli??? Mbona Dkt Kikwete watu wake wengi waliminywa na alikuwa kimya. Anyway Mungu anajua ya kesho
Inaonekana huko CCM kumekuwa na mambo ya kushangaza sana miaka hii. Wote umewasifu: Magufuli, Kikwete, Samia kama viongozi. Kikwete umempamba zaidi kwa ukarimu, upole na hekima.

Sasa ilikuwaje Magufuli unayemtukuza sana amminye Kikwete na wewe uone vyema Kikwete kupiga kimya (yaani kuugulia maumivu kimya kimya)? Kumbuka lakini kuwa Kikwete naye aliwahi kutoa kauli maarufu dhidi ya “kujimwambafai” akajibiwa na ya “kuwashwawashwa” ikifuatiwa na tishio la Hapi dhidi ya wastaafu wasiojua kukaa kimya.

Anyway, mkitaka kuweka kumbukumbu za kauli mbovu wanazotoleana viongozi na makada huko Lumumba mtapata picha ya chama kilichojaa fitna nakuelekea kuhatarisha mustakabali wa taifa.

Sasa tuko kwenye “death wish”. Yote ndani ya CCM. Watanzania wanatazama tu.
 
Vifua vya wajinga ndio watafurahi vifo vya watu wema. Lakini jitu katili likifa watu wenye Akili hatusikitiki kamwe awe wa upinzani au ccm bali tunamshukuru Mungu kwa wema wake kwetu.
Apandacho mtu ndicho atakacho vuna.
Watu wema hawafi we pimbi
 
Watu walibanwa kuhujumu nchi hata ccm walizoea kuwa mambo yangeendelea hivyo hivyo kama kawaida .kama hiyo ndo sumu bora tu tupate mwingine wa kuikoroga tu
Ishu siyo mwingine...
Tafuteni tiba kwenye Katiba, kanuni, sera, taratibu, sheria na miongozo! Bila hivyo mtaonana wabaya na mtabaguana buree!
Watu hupita!!
Stronger institutions! Not stronger people!
 
Inaonekana huko CCM kumekuwa na mambo ya kushangaza sana miaka hii. Wote umewasifu: Magufuli, Kikwete, Samia kama viongozi. Kikwete umempamba zaidi kwa ukarimu, upole na hekima.

Sasa ilikuwaje Magufuli unayemtukuza sana amminye Kikwete na wewe uone vyema Kikwete kupiga kimya (yaani kuugulia maumivu kimya kimya)? Kumbuka lakini kuwa Kikwete naye aliwahi kutoa kauli maarufu dhidi ya “kujimwambafai” akajibiwa na ya “kuwashwawashwa” ikifuatiwa na tishio la Hapi dhidi ya wastaafu wasiojua kukaa kimya.

Anyway, mkitaka kuweka kumbukumbu za kauli mbovu wanazotoleana viongozi na makada huko Lumumba mtapata picha ya chama kilichojaa fitna nakuelekea kuhatarisha mustakabali wa taifa.

Sasa tuko kwenye “death wish”. Yote ndani ya CCM. Watanzania wanatazama tu.
Kikwete alikaa kimya hakusema tena, na the same kwa Mh. Lowasa, walisemezana kauli mbaya na Dkt Magufuli ila alipokaripiwa na rais alikaa kimya. Ninachoshangaa ni ubavu wa baadhi ya viongozi kuonesha furaha wazi wazi ya kifo cha Dkt Magufuli, yaani watu wengi wana hasira sana mtaani
 
Thank you for nice comment . Ila usichokijua kuna kitu kinaniambia kabisa membe pia alikuwa mshauri wa SAA100 ndo maana akinanape January wakapewa uwaziri haraka harak na kujiiamin kunedelea kumsumanga Marehem
Inaovyoonekana ni kweli maana walikuwa na viburi 100%, na kujiamini kupitiliza wakiamini rais Dkt Samia hawezi wafanya kitu kwa sababu wanajua godfather wao ndiye master mind wa mauaji ya yule wanaye mdhihaki, hivyo lazima aliyewateua aogope kabisa kufa na kuamua funika kombe mwanaharamu apite. Ila sasa sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom