Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama aliyepewa ni mganga, vp kuhusu aliyempa mjinga😅😅😅 Acha matusi MkuuSijawahi kuona mtu mjinga kama huyu halafu anataka uwaziri kwa nguvu hadi wanampa. Ni domo kaya tena mnafiki sana.
Na baada ya kugundua hasira za watu hasa kwenye comments za anachopostMakamba Jnr akaamua kuikimbia mitandao moja kwa moja .Siku hizi zile harakati zake za twitter zimekoma kabisa.Amebaki kuwa msomaji wa kimya kimyaKikwete alikaa kimya hakusema tena, na the same kwa Mh. Lowasa, walisemezana kauli mbaya na Dkt Magufuli ila alipokaripiwa na rais alikaa kimya. Ninachoshangaa ni ubavu wa baadhi ya viongozi kuonesha furaha wazi wazi ya kifo cha Dkt Magufuli, yaani watu wengi wana hasira sana mtaani
Sema sikubaliani. Hamkubaliani na nani?Jisemee wewe watanzania walio wengi hatu kubaliani na maneno yako
SawaSema sikubaliani. Hamkubaliani na nani?
Nikikupa fikra, hizo ni fikra zangu, siyo za hao nitakaowahusisha kwa madai ya fkra zangu.Tupe fikra mkuu. Zaidi ya walipo hao wawili, wengi wamesimama wapi unavyoona?
Kuna katiba hata iliyopo imeruhusu ufisadiIshu siyo mwingine...
Tafuteni tiba kwenye Katiba, kanuni, sera, taratibu, sheria na miongozo! Bila hivyo mtaonana wabaya na mtabaguana buree!
Watu hupita!!
Stronger institutions! Not stronger people!
Katiba ikiwa nzuri wezi wote watawajibika!Kuna katiba hata iliyopo imeruhusu ufisadi
Ww unafikri raisi asipowajibaka hata katiba Iwe nzuri vip haitasaidia
Nchi zenye katiba nzuri ndo hazina ufisadi
Itakuwa vema sanaTujisahihishe tuishi vyema....wote tumekosea na tunakosea
Kwa ajili ya asali mkuuHii mipasho mnampasha nani??
Na wewe semea nafsi yakoJisemee wewe watanzania walio wengi hatu kubaliani na maneno yako
Na baada ya membe kufa piaKwani ni uongo ugomvi wa JPM na Membe uliisha baada ya JPM kufa..?