bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
wacheni uzushi jamani na extrapolations zisizokuwa na tija yo yoteInaovyoonekana ni kweli maana walikuwa na viburi 100%, na kujiamini kupitiliza wakiamini rais Dkt Samia hawezi wafanya kitu kwa sababu wanajua godfather wao ndiye master mind wa mauaji ya yule wanaye mdhihaki, hivyo lazima aliyewateua aogope kabisa kufa na kuamua funika kombe mwanaharamu apite. Ila sasa sijui itakuwaje