Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

Kwa mfano membe anadai magufuli hakuwaheshimu watangulizi wake. Je ni kweli? Magufuli aliwapa heshima kubwa na kuwajali mzee mwinyi, mkapa na kikwete. Mzee Mwinyi akieleza kila alivyopata fursa jinsi Magufuli alivyowazidi marais waliyotangulia kwa utendaji na kwamba mwenyewe anamuhusudu. Wote marais mkapa na kikwete wakikubaliana kwamba wameleta mrithi mtendaji mzuri sana. Sasa huyu membe nape makamba mtoto na baba na mzee wetu kinana haya maneno kwamba magufuli alidharau marais wastaafu na kuona hawakufanya kitu walitoa wapi? Kikwetu anayedhaniwa karibu na hili genge hakuwahi hata siku moja kutoa kauli kama hiyo zaidi ya kuona utendaji wa bulldozer mwenyewe aliyochangia kuwaletea watanzania.
Hawa waganga njaa walaku wabinafsi tuwe macho sana nao.
 
Kwani kikwete ni mungu? Acheni ujinga bhana mlitaka mungu afanyeje yule si alikuwa kiumbe wake? Kumchukua imekuwa nongwa? Wamekufa mitume itakuwa jitu chizi?
Tena maarifa![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndo yule yule aliyetembea kwa magoti kwenda kusaka msamaha? watu hawana aibu aisee.....mara atembee kwenye makalio ya kina mama.
 
Daah JPM alifanikiwa kukoroga sumu kali sana ya ubaguzi!
Si ndani ya chama chake wale nje!
Ngoja tuinywe!
Watu walibanwa kuhujumu nchi hata ccm walizoea kuwa mambo yangeendelea hivyo hivyo kama kawaida .kama hiyo ndo sumu bora tu tupate mwingine wa kuikoroga tu
 
Thank you for nice comment . Ila usichokijua kuna kitu kinaniambia kabisa membe pia alikuwa mshauri wa SAA100 ndo maana akinanape January wakapewa uwaziri haraka harak na kujiiamin kunedelea kumsumanga Marehem
 
Inaonyesha huwa hufuatilia hata hotoba za huyu mama ndo mana unasema hivyo .ukweli ni kuww saa100 alikuwa upadne wa hawa akina member na ndo. Walikuwa washauri wake na kikwete akiwepo
 
Siasa za Bongo zinaingia ukurasa mpya
Ni siasa za CCM hizo, hakika. Taratibu hicho chama kinazidi kuwa chama cha wanga, wachawi na misukule. Wabongo wanajikuta mateka tu wa hilo jinamizi. Inasikitisha sana.
 
Inaonekana huko CCM kumekuwa na mambo ya kushangaza sana miaka hii. Wote umewasifu: Magufuli, Kikwete, Samia kama viongozi. Kikwete umempamba zaidi kwa ukarimu, upole na hekima.

Sasa ilikuwaje Magufuli unayemtukuza sana amminye Kikwete na wewe uone vyema Kikwete kupiga kimya (yaani kuugulia maumivu kimya kimya)? Kumbuka lakini kuwa Kikwete naye aliwahi kutoa kauli maarufu dhidi ya “kujimwambafai” akajibiwa na ya “kuwashwawashwa” ikifuatiwa na tishio la Hapi dhidi ya wastaafu wasiojua kukaa kimya.

Anyway, mkitaka kuweka kumbukumbu za kauli mbovu wanazotoleana viongozi na makada huko Lumumba mtapata picha ya chama kilichojaa fitna nakuelekea kuhatarisha mustakabali wa taifa.

Sasa tuko kwenye “death wish”. Yote ndani ya CCM. Watanzania wanatazama tu.
 
Vifua vya wajinga ndio watafurahi vifo vya watu wema. Lakini jitu katili likifa watu wenye Akili hatusikitiki kamwe awe wa upinzani au ccm bali tunamshukuru Mungu kwa wema wake kwetu.
Apandacho mtu ndicho atakacho vuna.
Watu wema hawafi we pimbi
 
Watu walibanwa kuhujumu nchi hata ccm walizoea kuwa mambo yangeendelea hivyo hivyo kama kawaida .kama hiyo ndo sumu bora tu tupate mwingine wa kuikoroga tu
Ishu siyo mwingine...
Tafuteni tiba kwenye Katiba, kanuni, sera, taratibu, sheria na miongozo! Bila hivyo mtaonana wabaya na mtabaguana buree!
Watu hupita!!
Stronger institutions! Not stronger people!
 
Kikwete alikaa kimya hakusema tena, na the same kwa Mh. Lowasa, walisemezana kauli mbaya na Dkt Magufuli ila alipokaripiwa na rais alikaa kimya. Ninachoshangaa ni ubavu wa baadhi ya viongozi kuonesha furaha wazi wazi ya kifo cha Dkt Magufuli, yaani watu wengi wana hasira sana mtaani
 
Thank you for nice comment . Ila usichokijua kuna kitu kinaniambia kabisa membe pia alikuwa mshauri wa SAA100 ndo maana akinanape January wakapewa uwaziri haraka harak na kujiiamin kunedelea kumsumanga Marehem
Inaovyoonekana ni kweli maana walikuwa na viburi 100%, na kujiamini kupitiliza wakiamini rais Dkt Samia hawezi wafanya kitu kwa sababu wanajua godfather wao ndiye master mind wa mauaji ya yule wanaye mdhihaki, hivyo lazima aliyewateua aogope kabisa kufa na kuamua funika kombe mwanaharamu apite. Ila sasa sijui itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…