Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

wacheni uzushi jamani na extrapolations zisizokuwa na tija yo yote
 
Shida sio JPM,yeye alishatangulia mbele za haki. Yote yanayoendelea kwa sasa hajui chochote.
Ni busara zaidi kwa tulio hai tungejenga umoja na kuondoa hizo dosari. Ila cha ajabu tulio hai ndio tunaendeleza yale tunayoona JPM alikosea
Magu aliiharibu sana Nchi...na haya ndio matokeo yake....Aliua upendo miongoni mwa wa Tanzania..

Mbele Kuna kiza kizito....haya matukio na yatuamshe Akili...
 
Jisemee wewe watanzania walio wengi hatu kubaliani na maneno yako
Kabisa naona vijamaa vinatumia fake id humu kuonesha kuna chuki na kukuza mambo. Ila saa ni nyuzi za kuponda na chuki bila sababu yoyote. Tusikuze mambo bila sababu ya msingi.
 
Aisee nimemkumbuka R.I.P Elias Kwandikwa, hakika dodo kilikuwa kisu kikali sana.
 
Kabisa naona vijamaa vinatumia fake id humu kuonesha kuna chuki na kukuza mambo. Ila saa ni nyuzi za kuponda na chuki bila sababu yoyote. Tusikuze mambo bila sababu ya msingi.
Kabisa mkuu. Jamaa wana roho flani ya ya hovyo saana na ubaya hata kwa mambo wasiyo yajua wao hawafikirii wanaropoka tu. Eti watanzania hiyo kanda yao inaweza kufutwa tu afu kanda zilizo bakia zikaishi vzr na uchumi ukakua tu tena zaidi
 
Nasikia Kuna operesheni Moja nzito inayoasisiwa na mungu baba mwenyezi mwaka huu. This year! Blessing!
 
Ishu siyo mwingine...
Tafuteni tiba kwenye Katiba, kanuni, sera, taratibu, sheria na miongozo! Bila hivyo mtaonana wabaya na mtabaguana buree!
Watu hupita!!
Stronger institutions! Not stronger people!
Kwani katiba ya sasa inaruhusu ufisadi na uhujumu uchumi?
Ili tusonge mbele Tunahitaji kiongozi imara na mzalendo wa kweli sio hawa wanasiasa
 
Magu aliiharibu sana Nchi...na haya ndio matokeo yake....Aliua upendo miongoni mwa wa Tanzania..

Mbele Kuna kiza kizito....haya matukio na yatuamshe Akili...
Kipi sahihi tuendelee kumfuata Magu jinis alivyokosea au tujisahihishe kwa kujifunza kupitia pale alipokosea ?
Kumbuka yeye hayupo tena Duniani,ila tulio hai tunapaswa kuishi vema
 
Kipi sahihi tuendelee kumfuata Magu jinis alivyokosea au tujisahihishe kwa kujifunza kupitia pale alipokosea ?
Kumbuka yeye hayupo tena Duniani,ila tulio hai tunapaswa kuishi vema
Tujisahihishe tuishi vyema....wote tumekosea na tunakosea
 
Kwenye ugomvi wa MEMBE vs MAGUFULI, Membe ni mshindi, ameshuhudia MWISHO wa Mwehu MAGUFULI na amesindikizwa kaburini akishuhudia, hilo ndilo ambalo MEMBE alilihitaji.

Alijua yeye sio chuma kwamba lazima afe ila nani wa kutangulia ndio ilikuwa battle na MEMBE alishinda hiyo Battle.

Kwa namna yoyote ile MAGUFULI hajafanikiwa kuona mwisho wa MEMBE ila MEMBE ameshuhudia MWISHO wa MAGUFULI.

Na sasa nchi iko FREE na imeondokana na kiongozi MWEHU kuwahi kutokea nchi hii.
 
No Mara waaaa 2021 mwenyezi Mungu aliamua ugomvi nchi ilikua inaelekea pabaya Sana!๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”
 
H

Hata kama katangulia mbele za haki tutaendelea kuyakumbuka yote alofanya whether -ve/+ve
Sasa kwani kuna shida gani kuhusu alivyosema nape,kwani si ndivyo ilivyokuwa baada ya magufuli kufariki ndipo marehemu akarudishiwa uwanachama wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ