Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

Sijawahi kuona mtu mjinga kama huyu halafu anataka uwaziri kwa nguvu hadi wanampa. Ni domo kaya tena mnafiki sana.
kama aliyepewa ni mganga, vp kuhusu aliyempa mjinga😅😅😅 Acha matusi Mkuu
 
Na baada ya kugundua hasira za watu hasa kwenye comments za anachopostMakamba Jnr akaamua kuikimbia mitandao moja kwa moja .Siku hizi zile harakati zake za twitter zimekoma kabisa.Amebaki kuwa msomaji wa kimya kimya
 
Tupe fikra mkuu. Zaidi ya walipo hao wawili, wengi wamesimama wapi unavyoona?
Nikikupa fikra, hizo ni fikra zangu, siyo za hao nitakaowahusisha kwa madai ya fkra zangu.

Nikitaka kujua usahihi wa fikra zangu, itanilazimu kwa njia moja au nyingine niwafikie ili nijue wanakosimamia kwenye maswala husika.
 
Ishu siyo mwingine...
Tafuteni tiba kwenye Katiba, kanuni, sera, taratibu, sheria na miongozo! Bila hivyo mtaonana wabaya na mtabaguana buree!
Watu hupita!!
Stronger institutions! Not stronger people!
Kuna katiba hata iliyopo imeruhusu ufisadi
Ww unafikri raisi asipowajibaka hata katiba Iwe nzuri vip haitasaidia
Nchi zenye katiba nzuri ndo hazina ufisadi
 
Kuna katiba hata iliyopo imeruhusu ufisadi
Ww unafikri raisi asipowajibaka hata katiba Iwe nzuri vip haitasaidia
Nchi zenye katiba nzuri ndo hazina ufisadi
Katiba ikiwa nzuri wezi wote watawajibika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…